Sio kweli kabisa, kama ni usaliti wa kimapenz wanawake naweza sema mnaongoza bana , wangapi leo hii wametulia wamendana sana, kwan wao hawafanyi hivyo, mbona mimi navulia nguo na nampenda tuu, tena nikiwa mbali naye sijiskii vema mpaka nikimuona
Sio kweli kwamba kunaanguko 2020 bt huyu mama kama kweli anajiheshim na anataka heshima yake ibaki vizuri akatae tuu kama alivyo kataa mke wa Lowasa, nitamuona wa maana sana
Tanzania na siasa zake tabu tupu kila jambo liki vuma kidogo wanalikuuuza then baadaye wanalipotezea, walianza na sukar likapotea juu juu ikaja njaa wakaimba nalooo ikaisha juu juu hakuna anaye kumbuka leo madawa ya kulevya sikilizia linapotea hivyo na hakuna cha uhakika walicho kifanya ...
Nikweli lakini
Kilimo cha tumbaku Tabora hiyo inajulika sana na mpaka viwanda vyake vpo , wasema nimmoja ya zao linalo ingizia Taifa pato kubwa! Kama Rais JPM atasema heeeee! Bunge litalipuka wakat wowote, wafanyabiashara watalia na yeye, kuzuia hiyo haiwezekani kabisa, mwenye kuogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.