Tetemeko kubwa laikumba Yanga, timu kwenda Zambia kwa treni

beal

Senior Member
Dec 30, 2012
114
60
Katika ile hali isiyotarajiwa, team pendwa wenyewe wakiita timu ya wananchi wamekutwa na tetemeko kubwa la kiuchumi kwa kuwa na hali mbaya ya kifedha.

Kutokana na utata huo uongozi wa juu wa timu hyo umeamua kusafirisha timu hyo kwenda nchini Zambia kumenyana na zanaco fc ya nchini humo kwa njia ya treni kupitia reli ya tazara had ktk kampilimposhi,

Mmoja wa kiongozi wa juu alionekana maeneo ya station ya tazara kwa ajili ya shughuli za booking na kuhitaji kujua taratibu za usafiri hyo

Alipoulizwa na mnyetishaji wetu kuwa kwnn wameamua kutumia usafiri huo alijibu kuwa wameamua kutumia usafiri huo kama njia rahis ya kuwawezesha kufika Zambia kwan wakiondoka alhamis ijumaa watakuwa Zambia, akaendelea pia kudai kuwa kocha ndo kashauri hvyo.

My take:
Ukisikia joto la jiwe ndo hili
 
Makubwa haya
 
Hahh.. nanza kuyaona mapovu kutoka kwenye ndege mpka Treni dadekii.. boss mzigo hauziki
 
Back
Top Bottom