Umushoshoro
Senior Member
- Apr 15, 2008
- 121
- 39
Makapi yaliofukuzwa juzi na ccm.Halafu hao ni tayari wapo chadema toka 2015,walipoihujumu ccm,zilizobaki ni mbwembwe za kujipooza kisaikolojia tuWadau, amani iwe kwenu,
Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.
Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.