Recent content by Rama viper

  1. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnapenda Rais ajaye 2025 awe na vipaumbele gani?

    Awe mbunifu na muungwana pia awekeze zaid keenye sekta binafsi kupunguza makali ya ajira
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

    Frsh tyuuu mambo yakawaida piga moyo konde atakuja alie bora zaid na huyo mwenzio nae atapata anaehitajika kwao
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kushuhudia kifo cha mzazi wako, anaeumwa au kuambiwa kafariki?

    Hakuna bora vyote vinauma kifo ni kifo tuuu mdau
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini ana tabia za uswahili uliopitiliza. Nifanye nini kumbadilisha?

    Mabadiliko yanachukua muda muda mrefu kuwa makin jaribu kumuonyesha vilivo bora ajifunze kupitia ww nasio kumkosoa kila mara
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Polisi apunguze mahaba na utopolo, kauli zake zinaonesha ushabiki zaidi kiutopolo

    [emoji3][emoji3][emoji28] ndio soka letub
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa India wazungumza na Mo Dewji

    Wamezungumza na mtt wao wanataka wamrudishe nyumban kwao
  7. R

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Anajifariji tyuu hakuna anae tamani hilo ni balaa na nusu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi jiongezeni mpige pesa zaidi, kituo cha mabasi Mbezi Luis ni changamoto kwa abiria

    Raha ya shida inamambo makuu mawili moja ikukomaze au ikuangushe ww angalia namna ya kurahisisha safar yako
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi jiongezeni mpige pesa zaidi, kituo cha mabasi Mbezi Luis ni changamoto kwa abiria

    Mtazoea tyuuu mbona kuna watunwanaishi mlandiz na wanasafiri kwenda mikoa ya kusin anaenda pandia gar mbagala
  10. R

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke atanitoa roho

    Men lie women lie
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amebakiza mwezi mmoja kuishi kutokana na uraibu wa sigara na pombe kali iliyosababisha saratani ya mapafu

    Hakuna namna tena haya mambo sio mazur nakumbuka nilimpoteza mshua kwa sababu ya sigara mapafu yalichakaa yakawa kama neti
  12. R

    JamiiForums Tanzania Katu usimkekete binti yako...

    Sema wale wazee wakimila nao wanaogopesha sana kufikiria watakufanyia mambo yakiswhil daahh
  13. R

    JamiiForums Tanzania Katu usimkekete binti yako...

    Elimu izid kutolewa mara kwa mara kwa wazaz na walez nahad kwa jamii nzima haya mabo sio ya kuiachia serekal tuu bali liwe nila kila mmoja wetu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

    Kwanza mm mwenyewe then wewe yan me and u
Back
Top Bottom