Recent content by Ralphryder

  1. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dawa hatari kwa figo zako

    Sasa hapo ndio umebakiza dawa gani nzuri kwa Figo!!?? Si zote tu!! Au basi tutumie mitishamba sema!
  2. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Katika hali hii ungekuwa wewe ungefanyaje

    Kinehe Nkoi, ulimhola!!
  3. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Sunda, tajiri wa madini pale Mererani yuko wapi siku hizi?

    Mwanakarate
  4. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Hili lichama limeamua kuwa linapigania wagalatia tu.
  5. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Kumbe chadema ni ya walokole!!
  6. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Karamu ya mwisho na majigambo ya mtandao

    Lema ni kibaka ambaye hana aibu kabisa!
  7. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Huyu Tony Kapola amekuwaje?

    Kabisa
  8. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Huyu Tony Kapola amekuwaje?

    Ndio, ni vimatone tu ndio vinatesa wake za watu, wanahama majumbani kwao, wako radhi washinde kwa nabii wampikie wamfulie, wampe kila kitu kuliko mume na ukiwaonya ni wakali balaa!! Wanaamini kwamba wanamtumikia Mungu. Ni hatareee!! Ndio maana niko huru sitaki imani yoyote ila najua Mungu wa...
  9. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Huyu Tony Kapola amekuwaje?

    Mkuu hongera kwa kuiona movie, umeona jinsi hata ya namna alivyokufa!! Alijizidishia mafuta watu wakamtamani mpaka wakamla nyama akaisha!! Sasa unaambiwa yale matone machache yaliyobaki baada ya kuchupa kile kuvunjika, ndio manabii hadi leo wanachanganya na maji wanawarushia wafuasi wanakuwa...
  10. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment?

    Huyu aliyemrekodi mwenzie ni mngese sana
  11. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Huyu Tony Kapola amekuwaje?

    Hata uki Google itakujia, movie inayohusu mtoto mmoja alizaliwa kibahati mbaya na mama muuza samaki akataka kumuua kwa kumtupa kwenye mabaki ya magamba ya samaki ili aliwe na mapaka au mbwa lakini dogo akalia kwa sauti akaokolewa na walinzi wa soko la samaki, mama yake akakamatwa akanyongwa...
  12. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Huyu Tony Kapola amekuwaje?

    Ukitaka kujua kuwa hawa manabii yale mafuta ni ya nguvu za giza, na yana uwezo wa kumfanya mtu yoyote kugeuka zuzu, itafute movie inayoitwa "The perfume" utajua nguvu ya giza iliyopo nyuma ya mafuta ya upako. Kifupi ni uchawi mtupu!! We itafute hiyo movie, utakuja kusema kweli.
  13. Ralphryder

    JamiiForums Tanzania Huyu Tony Kapola amekuwaje?

    Mh!
Back
Top Bottom