Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,195
Madawa ambayo yanaweza kusababishia uharibifu wa figo
Kuna orodha ndefu ya madawa yanayotumiwa na binadamu ambayo yanaweza kuharibu figo, hizi ni aina tofauti za dawa ambazo zinaweza kuharibu figo, nimezihorodhisha makundi kumi tofauti ya dawa ambazo ni hatari kwa figo zako.
Katika dawa hizo zipo;
1. Antibiotics
Hapa katika kundi la antibiotic kuna dawa hizi; Vancomycin, sulfonamides, ciprofloxacin na methicillin.
2. Dawa za kutuliza maumivu
Katika kundi la dawa za kutuliza maumivu, ukitumia, Acetominophen, aspirin, ibuprofen au naproxen, unaweza kuhathiri figo zako.
3.Dawa za kutuliza maumivu ya moyo( Heartburn medications)
Hapa kuna Omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), raberprazol (Rabecid), esomeprazole (Nexium) na lansoprazole (Prevacid).
4.Dawa za kuzuia virusi(Antiviral)
Katika kundi hili kuna Aciclovyr, tenofovir na indinavir.
5.Shinikizo la juu la damu(High blood pressure medications )
Captopril (Capoten).
6.COX-2 inhibitors
Celecoxib (chapa Celebrex), valdecoxib (chapa Bextra), rofecoxib (chapa Vioxx).
Dawa hizi za kipekee kutoka NSAIDs ziliaminika kuwa salama kwa ajili ya tumbo, lakini utumiapo zina uwezo mkubwa wa kuharibu figo zako.
7.Dawa za baridi yabisi(Rheumatoid arthritis drugs )
Chloroquine na hydroxychloroquine, infliximab (Remicade).
8. Bipolar disorder medications
Lithium.
9.Anticonvulsants
Phenytoin (Dilantin), trimethadione (Tridione).
10.Chemotherapy drugs
Mitomcycin,cyclosporine,tacrolimus,interferons,pamidronate,cisplatin,bevacizumab,quinine pamoja na propylthioracil
Kwa ushauri binafsi, unaweza pewa dawa hizi popote iwe hospitali au hata kwenye maduka ya madawa, pindi utumiapo moja ya dawa hizi tumia maji mengi ili kutoa ile sumu nyingi iliyopo kwenye hizi dawa, na usitumie dawa hizi bila ushauri wa daktari.Hizi ni dawa hatari kwa figo zako - MUUNGWANA BLOG