Karamu ya mwisho na majigambo ya mtandao

Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi
1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha
2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na mtandao unaoamua hatima ya Tanganyika huku kundi asili likibezwa na kupigwa vijembe vya kila aina
3. Kwamba uchaguzi umeshakwisha na hiyo ilikuwa hafla ya kupongezana
4. Watanganyika wasiojitambua waliobebwa kwenye mtumbwi wa vibengwo.. Walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba! Kuna mmoja ahadi yake ikatajwa ya 5M kutoka Simiyu alimaindi vibaya sana..!
5. Chukizo jipya kwa walalahoi wanaokishabikia chama kinachoendeshwa na tabaka fulani.. Hilo ndio linakula mema ya Tanganyika (keki ya Tanganyika)
6. Sifa, ubabe, show offs, kejeli za waalikwa..
7. Kilichoitwa harambee ni KARAMU YA MWISHO kwa chama! hakitakaa kifanye tukio kama hili tena maana limekuwa chukizo na dhihaka kubwa mbele za macho ya Mungu na Watanganyika pia.. Huu ndio mwisho na hakuna mwisho mwingine zaidi ya huu.
Na 7 ni muhimu sana. Imeeleweka vizuri
 
We nae punguza kupost upuuzi na pumba humu

Vyama vikubwa vya kisiasa duniani huko kama Democratic Party, Republicans vya USA, CDU ya Germany nk vyote hufanya fund-raising

Msingi wa hivi vyama ni wanachama, na wanachama wapo wa kila aina Wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, matajiri, masikini nk
Hao wote kila mmoja kwa nafasi yake ana haki kikatiba kushiriki ktk ujenzi wa chama chake.

Chadema kafanya tonetone, join the chai nk, alishachangiwa mpaka na matajiri wakubwa kina Mustafa Sabodo Tsh 100ml

Lakn leo CCM kufanya harámbee imekuwa nongwa

Rubbish & purely idiot..!!
 
Hahahaa!
 
Attachments

  • 8de34f56bccfe881cad94e12ff6b3cc7.mp4
    16 MB

Chadema ilitumia mitandao ya kijamii kujigamba na kuporomosha matusi mazito mazito hatimae ikajifia kifo cha kususiwa mzoga 🐒
 
Attachments

  • IMG-20250813-WA0003.jpg
    IMG-20250813-WA0003.jpg
    61.4 KB · Views: 11
We nae punguza kupost upuuzi na pumba humu

Vyama vikubwa vya kisiasa duniani huko kama Democratic Party, Republicans vya USA, CDU ya Germany nk vyote hufanya fund-raising

Msingi wa hivi vyama ni wanachama, na wanachama wapo wa kila aina Wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, matajiri, masikini nk
Hao wote kila mmoja kwa nafasi yake ana haki kikatiba kushiriki ktk ujenzi wa chama chake.

Chadema kafanya tonetone, join the chai nk, alishachangiwa mpaka na matajiri wakubwa kina Mustafa Sabodo Tsh 100ml

Lakn leo CCM kufanya harámbee imekuwa nongwa

Rubbish & purely idiot..!!
Wewe ni zaidi ya juha na mpuuzi hivi ubaweza kuilinganisha ccm na Republican na Democratic kweli? _😂 hizi ni akili za panya au za kunguni!?
 
Chadema ilitumia mitandao ya kijamii kujigamba na kuporomosha matusi mazito mazito hatimae ikajifia kifo cha kususiwa mzoga 🐒
Upuuzi mwingine huu hapa! Hizo ni pesa zetu zilizotokana na
Ukwepaji wa kodi
Mauzo ya rasilimali za Tanganyika
Kutakatisha PES a zinazotokana na dili mbalimbali serikalini
 
Ni muhimu unafahamu vyema wew pamoja na wadau wengine wa JF kwamba,
harambee ya CCM sio utapeli kama ule uliofanywa na vibaka wa tone tone kidigitali na tone tone kwenye kibakuli ambao wametokomea na pesa kidunchu zilizochangwa na chadema masalia wachache.

Harambee ya CCM ni kwa maslahi ya taifa na waTanzania wote ikiwa ni pamoja na wew licha ya kua una mihemko kweli kweli, but uko chini ya CCM madhubuti 🐒
 
Unamjua huyu ni nani? Na alifuata nini ikulu na kupiga picha na samia?
Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote.
 
unaibiwaje kura na huna gentleman?

kwanza nani atachugua upinzani uliojifia kitambo tu Tanzania?🤣
 
Tone tone mnaiona iko sawa, ila harambee ya CCM ndio haiko sawa? Tone tone unamuweka Lemma ambaye ana tuhuma za wizi wa magari Arusha?

Chadema kingekuwa kinapata support ya watu wenye nguvu kama kinavyopata CCM, basi leo hii CCM ndio kingekuwa chama cha upinzani...
 
Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi

1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha

2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na mtandao unaoamua hatima ya Tanganyika huku kundi asili likibezwa na kupigwa vijembe vya kila aina

3. Kwamba uchaguzi umeshakwisha na hiyo ilikuwa hafla ya kupongezana

4. Watanganyika wasiojitambua waliobebwa kwenye mtumbwi wa vibengwo.. Walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba! Kuna mmoja ahadi yake ikatajwa ya 5M kutoka Simiyu alimaindi vibaya sana..!

5. Chukizo jipya kwa walalahoi wanaokishabikia chama kinachoendeshwa na tabaka fulani.. Hilo ndio linakula mema ya Tanganyika (keki ya Tanganyika)

6. Sifa, ubabe, show offs, kejeli za waalikwa..

7. Kilichoitwa harambee ni KARAMU YA MWISHO kwa chama! hakitakaa kifanye tukio kama hili tena maana limekuwa chukizo na dhihaka kubwa mbele za macho ya Mungu na Watanganyika pia.. Huu ndio mwisho na hakuna mwisho mwingine zaidi ya huu.

Yanga pia wakamuingiza kwenye mtego wa kujihusisha na siasa. Kitu ambacho ni kinyume kabisa na sheria na kanuni za shirikisho la kabumbu duniani
 
Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi

1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha

2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na mtandao unaoamua hatima ya Tanganyika huku kundi asili likibezwa na kupigwa vijembe vya kila aina

3. Kwamba uchaguzi umeshakwisha na hiyo ilikuwa hafla ya kupongezana

4. Watanganyika wasiojitambua waliobebwa kwenye mtumbwi wa vibengwo.. Walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba! Kuna mmoja ahadi yake ikatajwa ya 5M kutoka Simiyu alimaindi vibaya sana..!

5. Chukizo jipya kwa walalahoi wanaokishabikia chama kinachoendeshwa na tabaka fulani.. Hilo ndio linakula mema ya Tanganyika (keki ya Tanganyika)

6. Sifa, ubabe, show offs, kejeli za waalikwa..

7. Kilichoitwa harambee ni KARAMU YA MWISHO kwa chama! hakitakaa kifanye tukio kama hili tena maana limekuwa chukizo na dhihaka kubwa mbele za macho ya Mungu na Watanganyika pia.. Huu ndio mwisho na hakuna mwisho mwingine zaidi ya huu.
Kabisa mkuu, jana nimelia sana, wale tulopiga kelele na kuwasweka ndani kipindi cha bwana yule, leo kweli ndo tumewafanya Freiends with benefits

Tutaweza tena kweli hata kuwakemea siku tukigundua wana mchezo mchafu
Nakuambia pale kuna watu kuanzia jana hata wakikamatwa na unga watasema ilikuwa ni chokaa, manake tushapigwa upofu
 
Tone tone mnaiona iko sawa, ila harambee ya CCM ndio haiko sawa? Tone tone unamuweka Lemma ambaye ana tuhuma za wizi wa magari Arusha?
Lema hakuwahi kuburuzwa korokoroni, Lile ponjoro si ndo linalofanya tunauziwa umeme kwa bei ya ghali ili hali linatudai bado mibilioni na lili buruzwa korokoroni na JIWE leo ndo mmelikimbilia

We kinembe Vip Bana au ndo wale FISIEM maslahi
 
Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi

1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha

2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na mtandao unaoamua hatima ya Tanganyika huku kundi asili likibezwa na kupigwa vijembe vya kila aina

3. Kwamba uchaguzi umeshakwisha na hiyo ilikuwa hafla ya kupongezana

4. Watanganyika wasiojitambua waliobebwa kwenye mtumbwi wa vibengwo.. Walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba! Kuna mmoja ahadi yake ikatajwa ya 5M kutoka Simiyu alimaindi vibaya sana..!

5. Chukizo jipya kwa walalahoi wanaokishabikia chama kinachoendeshwa na tabaka fulani.. Hilo ndio linakula mema ya Tanganyika (keki ya Tanganyika)

6. Sifa, ubabe, show offs, kejeli za waalikwa..

7. Kilichoitwa harambee ni KARAMU YA MWISHO kwa chama! hakitakaa kifanye tukio kama hili tena maana limekuwa chukizo na dhihaka kubwa mbele za macho ya Mungu na Watanganyika pia.. Huu ndio mwisho na hakuna mwisho mwingine zaidi ya huu.
hakika kama sisi watanzania tunachezewahivi Yule mzee aliesema watanzania akilizetu zimelala nauhakika alikua sawa mutu ambaye fikra zake nindogo ningumu kuelewa hili tukio
 
This is it 😳!
Ngoja Tusubiri tuone !
Kwani Ndugu Polepole anasemaje sasa ??!
Hapo ni waaaapi !??
Na Mjomba aliyetoa billioni 10 hapo ni waaapii ??! 🤣🤣🤣🤷🏿‍♂️ !
 
Back
Top Bottom