Recent content by rakeyescarl

  1. rakeyescarl

    Nimesoma Industrial Engineering Management, natafuta nafasi ya kazi au kujitolea

    Be confident as you have done and apply to big organizations in the country, there are many projects going on and many being financed by the country e.g If you have not tried, please visit the UN site, all these projects going in the country, the World Bank, European Union, US Embassy, Unilever...
  2. rakeyescarl

    Natafuta kazi za ndani

    nimekubali...ili tuelewana na umsaidie.Maana kumbe umeona hata yeye angekosea basi mpe uhuru....
  3. rakeyescarl

    Natafuta kazi za ndani

    niliye naye analipwa zaidi ya hiyo, ingawa analipwa na kampuni.Muombee kheri apate alichoomba kama ulivyofanya, hata kama si kwangu apate pazuri zaidi. Na yeye hachagui kuajiriwa na kampuni au mtu binafsi kama wewe/mimi.
  4. rakeyescarl

    Natafuta kazi za ndani

    Unasema kweli ....lakini angalia hata wewe Kiswahili chako....huenda ni bahati mbaya au mimi ndio Kiswahili changu ni zero, angalia taratibu mfano CV sio Kiswahili, namshairi-sio Kiswahili, sachangiaji, huenda ni bahati mbaya au una haraka au ni kifaa unachotumia, lakini yote kheri!
  5. rakeyescarl

    Natafuta kazi za ndani

    Tanzania Official languages : Swahili and ‎English‎ (de facto)-ingekuwa busara ukamwambia mf. Sheikh Omary najua anakuhitaji na una vigezo muandikie kwa njia hii nakutumia, lakini pia hapa kuandika matangazo kwa lugha 2, si server zitazidiwa? na akiandika kwa Kiswahili wanaotaka kwa English...
  6. rakeyescarl

    Natafuta kazi za ndani

    Kama ukimpeleka nje nilivyosoma naona atafurahi zaidi hakusema hataki kutoka nje ya TZ mpe hiyo nafasi ndio udugu, au ukimpa kazi unayofikiri inastahili kiasi hicho...ingawa mimi nafikiri hii kazi ni ngumu kuliko kazi nyingi ila kwa kuwa imefanywa ya chini ndio hivyo...wewe naona umesoma...
  7. rakeyescarl

    Natafuta kazi za ndani

    Tujiamini wa TZ....na tuwe wakweli, hivi kweli kiubinadamu unaweza kumkabidhi mtoto wako kwa mtu amlinde ,AHAHAKIKISHE YUKO SALAMA KIAFYA, asifanyiwe vitendo vya zinaa, apikiwe yeye na familia, mfuliwe nguo, nyumba isafishwe, wengine mpaka gari ioshwe, pasi zipigwe nguo, wakati mwingine na...
  8. rakeyescarl

    Natafuta kazi za ndani

    sijui kama nimeelewa ...kuna sehemu kasema anataka nyumba za kawaida?Mimi nafikiri yeye kaweka limit ya salary tu. Kama ambavyo mtu anaweza kusema Lorry la Mahindi tone 10 kulipakua ni kiasi kadhaa, sasa kama unahitaji unamchukua yeye ndio thamani yake, lakini asiyeweka thamani yake au wewe...
  9. rakeyescarl

    Natafuta kazi za ndani

    Congratulations Len Daw, You are better than many commenting here, I had never met a house girl like you here! You even have guarantors and you can even train children. Here some people like me are even not sure where to use r/l meaning they don't even deserve to manage a house in the village...
  10. rakeyescarl

    Huduma: Host Website/System yako kwa Tsh 1,000/= tu kwa mwezi

    Tunahitaji watu waliosoma wakabadili elimu kwenye biashara kama nyinyi. Sasa watu wengine tumeona kuwa mambo ya kuumizana kwenye gharama yanaenda kuisha.Na wengi tumeshangaa kwa hizi gharama maana sio zilizozoeleka, Mungu ajalie tuwe na watu wengi kwenye nyanja zote sio kuumizana 100%. Na...
  11. rakeyescarl

    Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  12. rakeyescarl

    Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Ulikwishaoa mkuu?
  13. rakeyescarl

    Tuna haki ya kususia bidhaa kutoka Canada!

    Nchi ni ya kwetu, ndege/meli/trains ni za kwetu, deni kama lipo ni la kwetu sote halichagui, mawazo yawe ya kiuzalendo Zaidi/ ki u Tanzania na si ya kumkomoa mtu, chama, nchi au kampuni fulani. Nina Imani kila mtu angefurahi hii ndege irudi angalau imsaidie yeye au ndugu zake siku moja. Mimi...
  14. rakeyescarl

    Ukisikia mwizi mwizi kuwa makini unapoenda kutoa msaada

    Ukishikwa nayo na viongozi wa usalama huko sio shida-ahahahahaaa!
  15. rakeyescarl

    Ukisikia mwizi mwizi kuwa makini unapoenda kutoa msaada

    Mkuu frender, Na mara nyingi shughuli ya kumuua mwizi ikiisha, wa TZ huwa wakiona hapumui, wengi wetu wote hukimbia ushahidi, sasa wewe kama amechomwa au kauliwa ndani ya nyumba yako na ni kweli aliiba TV au kifaa chochote utafanyaje zaidi ya kuwaita Police na wewe kwenda kuwasaidia kwenye...
Back
Top Bottom