Natafuta kazi za ndani

Natafuta kazi za ndani

Waajiri wengine wanaelewa kiswahili pekee mkuu!! Kwamba ww hujui kiswahili au ni kunenepesha cv tu??

Kama hajui kishazi basi mnaomuelewa mumjibie!!
 
I second you.

Kwa hizi nyumba za kawaida hawez pata ng'ooo
sijui kama nimeelewa ...kuna sehemu kasema anataka nyumba za kawaida?Mimi nafikiri yeye kaweka limit ya salary tu. Kama ambavyo mtu anaweza kusema Lorry la Mahindi tone 10 kulipakua ni kiasi kadhaa, sasa kama unahitaji unamchukua yeye ndio thamani yake, lakini asiyeweka thamani yake au wewe kumuwekea thamani yako ndio utegemee lolote mpaka kama ni maid unaweza kukuta mpaka mume anaondoka au wewe unaondoka au properties zinaondoka.
 
Atapata kwa mabalozi.
Ila anajiamini
Tujiamini wa TZ....na tuwe wakweli, hivi kweli kiubinadamu unaweza kumkabidhi mtoto wako kwa mtu amlinde ,AHAHAKIKISHE YUKO SALAMA KIAFYA, asifanyiwe vitendo vya zinaa, apikiwe yeye na familia, mfuliwe nguo, nyumba isafishwe, wengine mpaka gari ioshwe, pasi zipigwe nguo, wakati mwingine na sokoni , kazi zote hizi 24/7 kwa TZS 1,700 kwa siku?Halafu wengine wanafanya hivyo wana vipato vikubwa sana.
 
Yaani ulipwe laki 6 uhousegirl hapa Tanzan

Yaani ulipwe laki 6 uhousegirl hapa Tanzania???
Una utani wewe.
Kama ukimpeleka nje nilivyosoma naona atafurahi zaidi hakusema hataki kutoka nje ya TZ mpe hiyo nafasi ndio udugu, au ukimpa kazi unayofikiri inastahili kiasi hicho...ingawa mimi nafikiri hii kazi ni ngumu kuliko kazi nyingi ila kwa kuwa imefanywa ya chini ndio hivyo...wewe naona umesoma, lakini ukimleta house girl wa kijini wa bei nzuri ya chini kabisa na hawezi hata kusoma manuals za vyombo vyako vya umeme unafanyaje...au una mtoto ambaye inabid angalau ajue kushika kalamu au mtu wa kumuwashia computer games ulizonunua pesa ya nguvu ......
 
Waajiri wengine wanaelewa kiswahili pekee mkuu!! Kwamba ww hujui kiswahili au ni kunenepesha cv tu??

Kama hajui kishazi basi mnaomuelewa mumjibie!!
Tanzania Official languages : Swahili and ‎English‎ (de facto)-ingekuwa busara ukamwambia mf. Sheikh Omary najua anakuhitaji na una vigezo muandikie kwa njia hii nakutumia, lakini pia hapa kuandika matangazo kwa lugha 2, si server zitazidiwa? na akiandika kwa Kiswahili wanaotaka kwa English itakuwaje.
 
Tanzania Official languages : Swahili and ‎English‎ (de facto)-ingekuwa busara ukamwambia mf. Sheikh Omary najua anakuhitaji na una vigezo muandikie kwa njia hii nakutumia, lakini pia hapa kuadika matangazo kwa lugha 2 si server zitazidiwa? na akiandika kwa Kiswahili wanaotaka kwa English itakuwaje.
Hili ni JUKWAA LA AJIRA NA TENDA, kwani hicho ni kingereza mkuu.

Ndio maana nikamuuliza kama anataka kuongeza tu CV yake au ni vipi!? Ila kama ana uhitaji wa kazi za namna hiyo namshairi aandike uzi wake kiswahili ili upate sachangiaji wengi na kuwafikia wengi.
Kubali kataa TZ wengi ngeli ni chenga ndio maana nyuzi nyingi humu ni kishazi tu mzee.
 
Kama ukimpeleka nje nilivyosoma naona atafurahi zaidi hakusema hataki kutoka nje ya TZ mpe hiyo nafasi ndio udugu, au ukimpa kazi unayofikiri inastahili kiasi hicho...ingawa mimi nafikiri hii kazi ni ngumu kuliko kazi nyingi ila kwa kuwa imefanywa ya chini ndio hivyo...wewe naona umesoma, lakini ukimleta house girl wa kijini wa bei nzuri ya chini kabisa na hawezi hata kusoma manuals za vyombo vyako vya umeme unafanyaje...au una mtoto ambaye inabid angalau ajue kushika kalamu au mtu wa kumuwashia computer games ulizonunua pesa ya nguvu ......
Mchukue umuajiri mkuuu.
Awe housegirl wako naumlipe laki sita kama alivyoomba.
 
Hili ni JUKWAA LA AJIRA NA TENDA, kwani hicho ni kingereza mkuu.

Ndio maana nikamuuliza kama anataka kuongeza tu CV yake au ni vipi!? Ila kama ana uhitaji wa kazi za namna hiyo namshairi aandike uzi wake kiswahili ili upate sachangiaji wengi na kuwafikia wengi.
Kubali kataa TZ wengi ngeli ni chenga ndio maana nyuzi nyingi humu ni kishazi tu mzee.
Unasema kweli ....lakini angalia hata wewe Kiswahili chako....huenda ni bahati mbaya au mimi ndio Kiswahili changu ni zero, angalia taratibu mfano CV sio Kiswahili, namshairi-sio Kiswahili, sachangiaji, huenda ni bahati mbaya au una haraka au ni kifaa unachotumia, lakini yote kheri!
 
Mchukue umuajiri mkuuu.
Awe housegirl wako naumlipe laki sita kama alivyoomba.
niliye naye analipwa zaidi ya hiyo, ingawa analipwa na kampuni.Muombee kheri apate alichoomba kama ulivyofanya, hata kama si kwangu apate pazuri zaidi. Na yeye hachagui kuajiriwa na kampuni au mtu binafsi kama wewe/mimi.
 
Mchukue tu umuajiri na huyo huko kwenu mnakolipa housegirl laki sita.
Utakuwa umemsaidia sana.
 
Mimi sijui kingereza lakini mbona watu hata kiswahili tu wanakosea na mnakaa kimya na ni lugha anayotumia tangu kuzaliwa? Shida ni pale mtu akikosea kiingereza.
Wengine kwa umri tulonao na nature ya kazi zetu, tunawajibika kusaidia kuelimisha na wala si kufundisha. Hivyo mtu anayejitahidi kujua kitu ambacho ni nadra huwa tunaona umuhimu wa kuelimisha bila matusi wala misuguano. Nadhani kisura umenipata sawia! Ila napenda ulivyojitahidi kumkingia kifua jamaa yako. Hata mimi msomali wangu angalikuwa anafanya hivyo, ningenenepa cc Dinazarde
 
Unasema kweli ....lakini angalia hata wewe Kiswahili chako....huenda ni bahati mbaya au mimi ndio Kiswahili changu ni zero, angalia taratibu mfano CV sio Kiswahili, namshairi-sio Kiswahili, sachangiaji, huenda ni bahati mbaya au una haraka au ni kifaa unachotumia, lakini yote kheri!
😂😂😂😂 We jamaa una hoja nyepesi sana. We chukua maana kuu, achana na huo uandishi wangu.

Hata yeye angeandika kiswahili hata angekosea kama mimi hapo juu, lengo lake lingefahamika tu. Na pia zote ulizotaja hapo ni sababu za mwandiko wangu mbaya.
Hii ni comment tu wala sio uzi ndgu yangu, kikubwa umeelewa.
 
Wengine kwa umri tulonao na nature ya kazi zetu, tunawajibika kusaidia kuelimisha na wala si kufundisha. Hivyo mtu anayejitahidi kujua kitu ambacho ni nadra huwa tunaona umuhimu wa kuelimisha bila matusi wala misuguano. Nadhani kisura umenipata sawia! Ila napenda ulivyojitahidi kumkingia kifua jamaa yako. Hata mimi msomali wangu angalikuwa anafanya hivyo, ningenenepa cc Dinazarde
😂😂😂😂 kila mara unanikandia nakutetea nin sasa niache ushaniudhi kwanza
 
Wengine kwa umri tulonao na nature ya kazi zetu, tunawajibika kusaidia kuelimisha na wala si kufundisha. Hivyo mtu anayejitahidi kujua kitu ambacho ni nadra huwa tunaona umuhimu wa kuelimisha bila matusi wala misuguano. Nadhani kisura umenipata sawia! Ila napenda ulivyojitahidi kumkingia kifua jamaa yako. Hata mimi msomali wangu angalikuwa anafanya hivyo, ningenenepa cc Dinazarde
"Umuhimu wa kuelemisha bila matusi"? Wewe ndicho ulichofanya ?
There is nothing wrong with correcting mistakes, it's how we all learn, but it can be done with kindness.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom