Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Kisa nin?Ungejua kulala silali hata kula sili tangu mwezi wa tatu mwaka huu tarehe 17
Kisa nin?Ungejua kulala silali hata kula sili tangu mwezi wa tatu mwaka huu tarehe 17
nimekubali...ili tuelewana na umsaidie.Maana kumbe umeona hata yeye angekosea basi mpe uhuru....😂😂😂😂 We jamaa una hoja nyepesi sana. We chukua maana kuu, achana na huo uandishi wangu.
Hata yeye angeandika kiswahili hata angekosea kama mimi hapo juu, lengo lake lingefahamika tu. Na pia zote ulizotaja hapo ni sababu za mwandiko wangu mbaya.
Hii ni comment tu wala sio uzi ndgu yangu, kikubwa umeelewa.
Kumuwaza msomali wanguKisa nin?
Mmmhhh ambavyo hunipendi hivyo siku hiziKumuwaza msomali wangu
Tuelezane kwa Waziri MkuuMmmhhh ambavyo hunipendi hivyo siku hizi
🤣🤣🤣🤣🤣Do you have frog?
Kwenye comment moja unatafuta kazi ya utendaji..vip ulifirisika?Pole sana ninayo organization yangu ya kulea watoto yatima kanda ya ziwa kama uko tayari kuwa care giver nicheki pm
NdioKwenye comment moja unatafuta kazi ya utendaji..vip ulifirisika?
English to English.Why you find house maid work instead of your professional ...what you were doing in University if you can't deriver your knowledge in the society you acquired at university ....
By the way in Tanzania house maid is one of cheap job with low salary and heavy embarrassement..!
Pole mkuu. Nipasie basi contact za wadada walio kuwa wanakusaidia kazi..nina uhitaji na binti kama care giver kwa Mtoto mdogo.. kiufup nahitaji dada wa kazi..mshahara nitaelewana nayeNdio
Pole mkuu. Nipasie basi contact za wadada walio kuwa wanakusaidia kazi..nina uhitaji na binti kama care giver kwa Mtoto mdogo.. kiufup nahitaji dada wa kazi..mshahara nitaelewana naye