Recent content by Rajab Makoba

  1. R

    Msaada namna ya ku unlock Apple ID kwenye iphone4s

    Kama ni nyeupe!,pia mimi nahitaji Display na Battery tu mzee.
  2. R

    Makonda kamwombe radhi Warioba , vinginevyo vijana tutakutenga

    Makonda anatafuta Kiki,kwani hana sehemu nyingine ya kuonekania tena kwakua Bunge maalumu la katiba limekwisha na kule kidogo ndio sehemu aliokua anaonekana.Asiwaumize Vichwa
  3. R

    Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

    Sasa kama alikua anatoa maoni yake,ninani alikua anayasajili maoni yake?,kwa kua wajumbe wa tume wa kusanya hawakuwepo mule ndani na walikua wameshakamilisha zozi la ukusanyaji maoni na walimkabidhi yeye mwenyewe?. Inawezekana anaugonjwa wa kusahau nini?.
  4. R

    MTV Music Awards June 6th, 2014

    Bado tuzo hazijaanza zitaanza saa nne
  5. R

    Mbowe, viongozi CHADEMA wahudhuria harusi ya Nassari, wakwepa msiba wa mama Zitto

    Tufanye waliokwenda msibani wanatosha. Kwani Zitto kaenda kwenye Harusi ya Nasari?.Sasa waache wafu wawazike Wafu wao,umesikia?.
  6. R

    The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

    Ata kama ndio Uzalendo wa kwako umevuka mipaka. Maana hata u-halisia hauuoni?.
  7. R

    Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha

    Sasa naamini kua huyu Binti ndie alie mbaka mume wa Ndugu yake Sasa huyo ni wa kumbaka kweli,mbona tayari anatembea uchi jamani?.na huu u-lokole fasheni nao!?.
  8. R

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Kwao walokole,ukahaba ni fasheni tu lakini ktk Jamii yao,yaani wao kwa wao.
  9. R

    Magufuli apangua hoja zote za Wabunge

    Swali moja kajikanyaga lakini la pili ndio hajaligusa na ndio linamaana Kua ktk Bajeti hii,ni kiasi gani kitakwenda kulipa madeni ya wakandarasina kipi kitabakia ilikimalize hizo kandarasi
  10. R

    Magufuli apangua hoja zote za Wabunge

    Mnge mpa nafasi basi ya kugombea Urais Kwetu yeye ni wakawaida tu na ndio maana anashindwa kujibu hoja za Mkosamali. At the same time wabunge wenu wote hawana swali hata moja.ni sisi tu ndio tunao uliza.Ohooo!.. Nimejua kazi yenu na wingi wenu ni kwa ajili ya kugonga meza tu nimejua. Alafu...
  11. R

    Magufuli apangua hoja zote za Wabunge

    Mwambie azijibu hoja za Mkosa mali kwanza kwani Madeni ni zaidi ya bill.400 Na ilani ya uchaguzi inakwisha mwakani. Amepangua nini sasa.hebu jibu wewe umsaidie.
  12. R

    Dr Slaa, Kinana, Maalim Seif na NCCR kushiriki kipindi cha 'Tanzania tunayoitaka'

    CCM,waruhusiwe waje wote watatu,waimba taarabu wao wa kiume,yaani Weka mbali na Tembo,Nape mtoto wa kuasili na Msema ovyo asiejua kujenga hoja Mwigulu alafu tywashangaze.
  13. R

    Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo akaliwa kooni ang'oke!

    Huyu Jamaa anafanana na jina lake ahadi za kushushwa kwa umeme tumesha zichoka sasa na kilasiku umeme unapanda bei Watuweka siku karibu 26 bila umeme eti wanaunganisha grid ya Taifa na Gesi ili ghalama za umeme zishuke but noyhing has been done,tumemchoka huyo jamaa na ahadi zake.
Back
Top Bottom