Recent content by raiswenu

  1. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo naona halipo sawa kati ya wananchi na police.SASAIVI POLICE HATA AKIFANYA JEMA WANANCHI HAWALIONI

    Naandika nafuta, ngoja tuone hatma inakotupeleka
  2. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Ni kwa kiwango gani maamuzi unayoyaita “maamuzi yangu” kweli hayo ni yako?

    Tuko kwenye mtihani, kila mtihani una maelekezo yake, wewe unachofanya wewe ni kuhoji maelekezo ya mtihani wako kama yako sahihi au la
  3. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuanza katiba mpya

    Futa ulichoandika
  4. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

    Una msongo wa mawazo, ukitukana unajisikia ahueni
  5. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Nina kereka na mume wa x wangu amemtelekeza mke, ananisumbua

    Ni mambo yao ya kifamilia, wewe hayakuhusu, shukuru hukumuoa, achana na wake za watu. Focus na maisha yako
  6. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Isaya Yunge, kijana wa Kisukuma aliyemposa binti wa Rais Ruto wa Kenya

    Mkuu jazia nyama kidogo
  7. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Nimjuavyo Samia, Hawezi Kufanya Hayo Wanayotaka Wao

    Kwamba wakizitoa?
  8. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Shule za serikali bado zinatuma wanafunzi kuni za kupikia!

    Unataka iweje mtoa mada? Hebu tueleze
  9. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Urusi Inawatafuta Vloggers Wote Wanaoikosoa Serikali ya Putin

    Umeenda Urusi kote huko kufanyeje
  10. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanapotaka watanzania wapambanie katiba mpya, wanatakiwa kupambana na nani?

    Dhidi ya AI, tusemeje sasa.
  11. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya kifo au tukifa ndio mwisho wa kila kitu

    Kuna maisha kabla ya maisha? Unakumbuka ulikokuwa kabla ya kuzaliwa? Kulikuwa na maisha kabla ya kuzaliwa? Kwa nini kuwe na maisha baada ya kifo? Wanyama wengine je? Au sisi ni so special? Maswali ni mengi majibu ndio hakuna
Back
Top Bottom