Recent content by Rahlee

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ubakaji JKT(mafunzoni)

    Sasa dah?mbona nakosa amani na kuishiwa nguvu na ujasiri kiukweli kbsa?Mungu amlinde mpenzi wangu tu huko na dada zetu wengine.i hate Ccm goverment for sure.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Membe: Wasiomtakia mema Rais Kikwete wananuna ujio wa Rais Obama!

    Wadau nimejiuliza sana ila mwenywe nimeshindwa kuelewa,niambieni jamani,hivi gharama kubwa serikali ya marekani inayoingia ya kuleta watu wengi namna hii ktk hii ziara itarudi vipi hiyo pesa yao jamani?mimi kiukweli ninawasiwasi mkubwa sana tutapata matokeo yake tu.China ilikua mikataba 17 hawa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo yetu yale inakuaje.... hapa?

    Dah.sasa nimekuelewa,had vichwa vyangu vyote vnauma,hasaa tubeles,magari kinyumenyume dah jamaa umeweza.
  4. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA "achaneni" na Dr.Slaa (Ushauri)

    Umekosea ndugu ktk title yako, CDM ni taacc,kuna kina Silaa wengi ambao ni majembe kuliko unavyodhani,ila kidogo nimekuelewa hunania mbaya,wewe ni mtu mzuri tu. :yell:
  5. R

    JamiiForums Tanzania JKT hamkujipanga ktk hili?

    Wadogozetu walomaliza kidato cha sita wamekwenda jeshini JKT laKini serikali haikutangaza wanatakiwa waende na nini huko jambo ambalo linawalazimu kujinunulua vitu vyakutumia na kama huna ndo inakula kwako,je wanafanya mambo bila kujipanga?tunapaswa kujua mahitaji ya huko ni yapi ili tuwaandalie...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Daktari Slaa anazidi kuchoka, unajua sababu ya daktari kuchoka hivi?

    Nihafadhari kuchoka mwali lakini kichwani uko vizuri kuliko mwigulu na magamba mengine wamechoka mwili,akili na moyo :yell:
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Kada wa CHADEMA afariki dunia

    umezingua ndugu,huo ni umbulul mr Abdilah
  8. R

    JamiiForums Tanzania Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

    Taharifa admin plz,what next?hawawez kuishnda nguvu ya uma.
Back
Top Bottom