Mkuu Mwankuga nimependa hiyo mstari wenye red hiyo imesimama sana nakubaliana na wewe.Lakini penye blue hapo nilitaka kukumbusha tu kwamba sifa kuu mbili za ushauri ni kukubalika ama kukataliwa,chadema haijakataa kushaurika,Ben katoa maoni yake naye kama mtu binafsi naye atakuambia kwa mapenzi aliyonayo kwa chadema,sasa ukilazimisha kama hapo kwenye blue manake wewe unajiona yadumu mashauri yako,hii ni hatari sana kwako kwani mashauri yanayodumu na kusimama ni ya Mungu tu,sasa labda uniambie wewe na Mungu mpo sawa,uwe na wakati mwema.Tukubali kutofautiana.Si kala mtu anayekushauri,ushauri ambao hukubaliani nao ni adui yako.Mimi sina matatizo na Chadema.Mimi sio mnafiki,na siogopi kusema kitu ninacho kiona kina ukweli.NAWAPENDA CHADEMA NDIO MAANA NAWASHAURI.Tunataka ukombozi wa nchi yetu,hatutaki kubadilisha sura tu.Chadema lazima ijipange vema ili kuongoza ukombozi tunaoutaka ambao ni mgumu zaidi kuliko enzi za ukoloni.Chadema kubalini kushaurika.Nchi hii ni yetu sote