Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,217
2,000
Nafikiri CHADEMA pengine sasa wataelewa kuwa manunguniko na malalamiko hutolewa na wale wanaoonewa. Pale Wazanzibari tulipokuwa tukifanya hivyo watu hapa walikuwa wakisema eti ooh, walalamishi tu. Sasa mlione nanyi, kila siku malalamiko!

chadema walitoa tamko hilo lini chadema imekuwa ikipinga uhuni wa serikali ya ccm mfano kwenye swala yule sheikh aliebambikiwa kesi ya ugaidi, chadema kupitia prof. safari na mabere walikemea vikali....
 
Jun 23, 2013
38
95
Ccm kwa kuleta siasa za chuki na visa vya namna hii huku wakitangaza hii ni nchi ya demokrasia na huru si kweli,ktk haya yanayotokea kila kukicha na wapinzani tu na kuwadingizia kesi na matukio wkt wao wanayafanya na kuwabambikia wapinzani tutafika wapi,mi naona hawa wanayakaribisha machafuko tu,hata huko nchi za nje tunakoona machafuko yalianza km hivi,cha msingi ccm acheni siasa hizi za chuki sasa jibuni hoja za wapinzani ktk majukwaa,mnachoshindwa ni nini ccm?
 

juvenal mosha

Member
Feb 19, 2013
13
0
Mfa maji haachi kutapatapa,mwisho wa ccm umefika,wanajaribu kuuwa,kutesa,kubambika watu kesi lkn matashindwaaaa!,kwa kuwa mkono wa mungu ni mrefu,na kwa hayo wanayowafanyia wenzie wajue hukumu ipo.si amri ya mungu ccm mtawale milele.
 
Jun 23, 2013
38
95
Ngekewa,umesahau tu Mkubwa.ngoja nikukumbushe,CHADEMA hata siku moja haijawahi kusema kuwa nyie Walalamishi ila yenyewe ilikuwa inajuwa fika kuwa ccm inawahujumu Cuf ktk Uchaguzi na mambo mengine ya muafaka kwa wkt ule,chama hiki kimekuwa Mstari wa mbele na Mpinzani wa kweli kwa Serikali ya ccm na ndiyo maana ccm na serikali yake wameelekeza nguvu zao zote mpaka imediliki kulitumia vibaya jeshi letu la polisi na vibaka ili wakichague chama cha CHADEMA,Fikiria ccm hawana jipya na si wabunifu ktk kuliongoza Taifa kutokana na mabadiliko ya karne hii
 

ALONE SON

New Member
Jun 19, 2013
4
0
sjaona kama CCM Imepona mwaka 2015,nakiona kfo chake knakja.DamU znazomwagka ndo mzzi wa mapndz.ze soln wll be seen at the moment
 

ANC-KWA ZULU NATAL

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
325
0
kuna mambo flan flan huwa wanafanya cdm siwaungi mkono kama maandamano ya kila sku arusha ila kwa hili kwa kweli cdm wananyanyaswa na ccm wanatumia dola vbaya tuwe fair ktk ushndan tutumie hoja kutofautiana kisiasa si mabavu nan alijua leo KANU ingekuwa chama pinzani...majna ya vyama yatabadlka ila wafuas na wapga kura ni walewale..Watanzania tunaoa na kuoleana hatutoi kadi za vyama kwenye kuoa au kusaidiana ktk masuala ya kijamii ila ccm kwa apa mnakotakata kutupeleka na polisi si kuzuri..hii nchi ni yetu wote.
 

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,518
2,000
DSC06673.JPGProduct ya Kilewo
 

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,712
1,225
chadema walitoa tamko hilo lini chadema imekuwa ikipinga uhuni wa serikali ya ccm mfano kwenye swala yule sheikh aliebambikiwa kesi ya ugaidi, chadema kupitia prof. safari na mabere walikemea vikali....


Inabidi unifahamu kuwa anaepinga kitu kwa yule anaelalamikiwa huonekana ni mtu anelalamika. Huo unaouita wewe uhuni kwao ndio sahihi hivyo mtabaki kuwa ni walalamikaji tu mbele ya Serikali na CCM!
 

Zeng

Senior Member
Apr 14, 2012
186
195
Habari za Jumapili WanaJF.

Tuko live kuwaletea yatakayozungumzwa muda si mrefu hapa Makao Makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ni Mkutano wa ghafla juu ya harakati chafu zinazoendelea kufanywa na Serikali, CCM, na Jeshi la Polisi dhidi ya Chama chetu. Karibuni sana

Kimsingi bado sijaelewa kwanini siasa za nchi yetu zinafika mahala tulipo sasa, kwanini kama CCM haitaki kuwa na vyama vingi nchini kwetu basi bora warejeshe Chama kushika hatamu, yaani kijitawale ili turejee katika mfumo dume.

Kuwepo kwa hali tete ya maisha na unyanyasaji wa raia hapa nchini halafu tunaita eti nchi huru ya Tanzania ilihali raia hawako huru? Kwanini kama kweli tunajali hasa viongozi wa Serikali kujali maslahi ya wazalendo wa nchi hii wasiwakamate hao wanaotesa waza;endo wa nchi hii?

Ni matukio mangapi yamefanyika na hakuna hata moja ambalo limefanikiwa kuzaa matunda? Waandishi wanatekwa na wakai mwingine hao viongozi wamesababisha tena kwa kiwango kikubwa lakini kilichofanyika ni kunyamaziwa au kuhamishiwa kituo kingine bila ufuatliaji wowte.

Mbaya zaidi hii imeingia si katika mateso ya raia tu bali hata watendaji wa serikali mahala wanapofanya ufisadi huhamishwa na kwenda kwingine ili waendelee kuvuna na kulisha wale waliowaweka mahala pale. Inaonesha kumbe vyeo vya nchi hii ni kwa kufahamiana na kulindana.

Hii ya kuandaliana visa na majanga tunailaani kwa kiwango kikubwa na ndiyo maana hata Waziri mkuu anadiriki kuvunja katiba kwa kusema "wapigwe tu, mtapigwa" kweli? Huku ni kulewa madaraka na kutojitambua kwa mhusina...
 

Lilambo

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
2,524
1,250
Chadema mnatafuta kura za huruma hamuachi kuhangaika mpk tushawachoka. Mi nawaona kama watoto wa kike
 

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,097
2,000
hasta la victoria siempre patria o muerte, venceremos. said fidel castro ruz.former presdent of cuba.
 

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,774
2,000
DSC06673.JPG


Huyu Jamaa huwa nahisi namfahamu. Walikuwa Class moja na mwigulu na pale mazengo Huyu tulikuwa tunamwita Honorable. Hii ilitokea baada ya yeye na mwigulu kugombea U-HP na yeye huyu honoramble akashinda. Hili Jina Honorable lilikuja baada ya
yeye kuwa anapenda sana kusema Honorable...... Honorable.........Sidhani kama hisia zangi si sahihi. Sura ni ile ile japo kabadilika kutokana na madhara aloyapata.

Kwa namna hii natilia shaka kuwa huyu bwana alimwagiwa Tindikali, yaweza kuwa alishadhurika tu huko anakojua yeye, baada ya kukutana tena na mwigulu wakaunda Dili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom