Wadogozetu walomaliza kidato cha sita wamekwenda jeshini JKT laKini serikali haikutangaza wanatakiwa waende na nini huko jambo ambalo linawalazimu kujinunulua vitu vyakutumia na kama huna ndo inakula kwako,je wanafanya mambo bila kujipanga?tunapaswa kujua mahitaji ya huko ni yapi ili tuwaandalie jaman,mdogowangu kanipigia cmu anasema ndoo yakuogea ndogo inauzwaa 5000 cnikutuumiza sisi tunaotafuta pesa na kwanini hawakusema tuwaandae?