Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Sasa unashangaa nini
kutokuelewa ni mwanzo wa kuelewa kwa hiyo usikonde utaelewa tu!!!!mmm yani sijaelewa kabsaaaaaaaaaa.naona hiyo picha ingenisaidia sana...
yaani sasa badala ya kujadili mada umefanya tujadili tafsida......
"Vits au starlet eti nazenyewe zinavuta matela ya tani hata 15"
ila haya matela ya tani 15 kwanini yanapenda vistarlet wakati kuna
scania,volvo
tatizo matrafiki siku hizi wamepunguza kufuata sheria wakiona ajali barabarani hata hawaulizi chanzo wanaipeleka paembeni tu wanaendelea kuchukua rushwa zao!!!
inaonekana haya mascania yanavutwa na vitz kwenye mtteremko mkali!!!
Hilo ndiyo swali la msingi heavean on earth,vits kuvuta scania na still maskania mengi yanapenda hii fulsa why?
Nihatari sana kama hizi mambo hadi monie zinapatikana kunaimuhim wa kuzijengea nguvu ya umma hali imewahitokea mitaa flan tmk raia wakafuata ngaz wakashughulikia ila tatizo hata maskania ya maskani jiran unaweza kuta linavutwa na kivits cha hom kama utalikalia kimya MPWA ACTION KWANZA.
basi nitaanza kuziogopa vitz bora nieendelee na prado yangu tu,nikishbdwa nitahamia fusohahaaa sometimes hata kwenye miinuko,vitz zinajituma sana
Lol! Unakuta ka vits bodi jipya,injini kwisha khabari yake.
Lol! Unakuta ka vits bodi jipya,injini kwisha khabari yake.