Recent content by rahim mambo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

    Nikweli kabisa nakumbuka kuna mama moja mtu mzima wakipare nilimsaidia sana kabla cjaolewa kipindi alipojifungua both financially na socially. cku ya harusi yangu kaka kuniteta kwa mdogo mamkwe wakumjua 'eti namhurumia huyu kijana huyu dada alikua nawaume wengi' na more stupid things. To hell...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Saa 10 Ni Saa za Mapenzi, Kama uamini huu ndio ushahidi

    Hujawahi kuchepuka ndomana. Kweli michepuko mingi huo ndo muda wao
  3. R

    JamiiForums Tanzania Moja ya sababu za wanawake kudundwa na wanaume wao

    Huyu nae anatukana mamba kabla ajavuka mto. Ajui cc wanawaka tukiwa kwenye uchumba tunaficha kucha. Aulize wachaga wanafanya je kabla hawajaolewa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwisho kabisa nimechoka

    We utakua huna pesa. Mwanamke yeyote ambao ana mme mwenye pesa hawezi kufanya kiburi. Nahuyu jama atakua anakuzidi pesa. Kwa hivyo tafta chapa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Simuelewi hapokei simu yangu, akijibu message basi ni kwa kifupi

    Ulipomalizaana,nae hukumpa pesa? Kama hukumpa nyamaza. Issue sio kwa wa chagga tu cc wote wanawake tumezoe hivyo. Hatutaki majasho
  6. R

    JamiiForums Tanzania Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

    Ila Diamond anayo dharau. Hivi Martin anajisikia je kwambiwa hawezi kununua BMW
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wavulana ikome

    Hata juzi ilimtokea celeb wa Uganda. Na inam cost sasa. Picha zake za uchi nje nje
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nauza suzuki swift 1.3 mpya kutoka Japan for 9 million

    Nina tano nanusu. Namii niko A
  9. R

    JamiiForums Tanzania Im 43,guy my age mate trying to date my daughter?????????

    Mkuki mtamu kwa nguruwe. Au akichinja Asuman inaliwa. Akichija John hailiwi. Nyie nyie mlikua mnasa asubuhi kutembea na mabinti wadogo sawa. Kwa ile post ya yule dada. Sa hv wakwako unanun'gunika. Why
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je waweza tambua haya ni mabishano ya nani na nani?

    Nuts and bolts
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je waweza tambua haya ni mabishano ya nani na nani?

    Hahahaha nimeongeza cku. Ila ni nusts and bold
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Diamond Platumz hajui kingereza au alijitoa ufahamu tu?

    What I know music is like poetry. One is free to break the rules of dat particulrar language. Aweze kuleta hisia. Its like literature. Remember the novel BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN and many others
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumtafakari huyu mwanamke

    Nahic alipata habari zako mtaani. Labda tabia yako cio nzuri navinginevyo
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

    Cku hizi wanaume wanatuonea wivu. Kwanza tumesom pili tunzo pesa tatu tunajamiini. Kwahiyo ucshangae.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Bigup gal. Wanaume wanapenda wanawake wakuonewa.
Back
Top Bottom