tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
Hiyo ya kuvunja simu ndo imekaa poa zaidi
umeona eeeh!!!
Hiyo ya kuvunja simu ndo imekaa poa zaidi
ila nadhani wengine wanatoa consent, si unajua mapenzi niondoe ufahamu!!
Hata hivyo,hotel nyingi na zile lodge kalikali hapa mjini,wamefunga camera maalumu za kurecord matukio yote yanayofanyika chumbani. Na baadae baadhi zinatengenezwa DVD na kuuzwa mitaani. Hapa suluhisho ni kuachana na umalaya ili kuepuka fedheha! Ukijiachia ipo siku utanunua CD yako.
yani hapana penda io kabisa siku ya siku mmetibuana utajutra kumfahamu anazianika utatamani ujichimbie chini
hahahahaha et pornstar utafikiri nayo ni sifa kwa watu wenye akili timamu!Mabinti wenyewe ndio wanapenda kurekodiwa,tena akiwa na vitak* vyake vya kichina amevibinua ndo anajiona porn star
Vp na wanawake wanaojirekodi wenyewe wakirusha rusha makalio yao?Aiseee yani vivulana vingine shida kabisaa
Vp na wanawake wanaojirekodi wenyewe wakirusha rusha makalio yao?