Recent content by raheezle

  1. raheezle

    JamiiForums Tanzania Vijana mkipewa kazi fanyeni kazi. Inaumiza sana mnapewa kazi mnalipua kazi

    Nipo kwenye hii field ya Ufundi na unachokisema ni sahihi kabisa Shida ni kwamba wengi wameingia huku sababu ya kukosa nafasi sehemu zingine so wanakosa ile passion na morality ya kazi,yaani ile mtu anafanya ilimradi amalize apate hela bila ya kujali matokeo ya anachokifanyq
  2. raheezle

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Njia tatu maana yake ni Umeme mkubwa wa 3 phase,mara nyingi unatumika kwa wenye machine,viwanda na wenye matumizi makubwa Nikonekt inapatikana kwenye website na sio application kwa sasa
  3. raheezle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a Partner

    Kuna miamba inafanya hizi mambo za udalali wa wachumba huko fb na insta...wanakula vichwa vya madomo zege balaa🤣🤣
  4. raheezle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    1.Episode 14 2.Utaenda alone
  5. raheezle

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Kongole sana mwandishi story ipo super kabisaa hadhi ya 5 star...lakin sehemu ya 3 na 4 sijaziona nimetoka ya 2 inafanayofata ya 5,.vp hapo?
  6. raheezle

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kizuri kwa Kozi ya Maintance of Electronic devices na Electrical appliances?

    Habari za muda huu watanzania wenzangu..Nilikua napenda kufahamu chuo gani kizuri kwa kozi ya kutengeneza vifaa vya kielectronics mfano Simu,Computer na TV,ada yake pia itakua ni kiasi gani?
  7. raheezle

    JamiiForums Tanzania Happy born day PIERLUIGI COLLINA

    Sammy Kuffor huyu mwamba sidhani kama atakuja kuisahau hiyo game....Sometimes mpira una matokeo ya kikatili nakumbuka Moscow final 2008 Man Utd vS Chelsea pale captain John Tery anakosa penalty na kuwakosesha the blues fursa ya kubeba Champions league kwa mara ya kwanza
  8. raheezle

    JamiiForums Tanzania RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

    Daah vigezo vimekaa kiHardcore...ukitoboa hapo mshukuru sana Mungu
  9. raheezle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Absolutely true..na hiyo ndo reason kubwa ya watu kuchukua maamuzi magumu kama kujiua au kuua kwa kudhani kuwa hakutendewa haki kuachwa
  10. raheezle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu gani mnatumia kumsahau mpenzi mlieachana?

    Kama unashabikia yanga sc hamia kwa mtani a.k.a unyamani kwa raha za huku utasahau tu stress za mapenzi..
  11. raheezle

    JamiiForums Tanzania Shetani anawapepeta vijana kadri atakavyo, vijana wanakufa wakiwa wadogo. Acheni dhambi vijana hamtatoboa

    Kwa trending lifestyles tunazoenda nazo matumizi makubwa ya vilevi,madawa,uzinzi na kila mwanamke\mwanaume anayepita mbele yako vinamaliza wengi sana...Mwenyezi Mungu anusuru kizazi hiki
  12. raheezle

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Tanzania na Afrika Kusini

    Wale ndo wabantu og...
  13. raheezle

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Tanzania na Afrika Kusini

    Refer ngoma ya emTee inaitwa "manando",.then mauaji ya mastar kama AKA,ndo utaamini maisha ya kule ni roho mkononi hasa kwa sisi mahustler wa kitaa
  14. raheezle

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nani amewahi kutumia hii website anipe feedback...services zao zikoje??
Back
Top Bottom