Recent content by rahamis

  1. rahamis

    JamiiForums Tanzania Wanaume na vijitabia vyao

    Mnaoolewa kwa tamaa ya vitu, "poleni", inaonesha hamjafundwa mkafundika mkajua maana ndoa.
  2. rahamis

    JamiiForums Tanzania Sasa ukweli umedhihiri, ni kweli Lowassa alimsumbua Mrisho Gambo amkutanishe na Rais japo kwa dakika kadhaa

    Sarakasi, [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  3. rahamis

    JamiiForums Tanzania Kwa poor performance aliyonayo kipa Emmanuel Msejja kwa nini hakutemwa dirisha dogo? nani anambeba?

    Simba, Simba, toto football kwa saaana, magoli hakuna. Hata haieleweki shida nini. Striker hawalioni goli au…………!!! mtamlaumu Mseja tu. Nadhani makocha kuna haja ya kubadilisha mfumo, shoo game ioneshwe baada ya kuzifumania nyavu. Ushindi ndio muhimu.
  4. rahamis

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii tabia ya 'kudanga' kama wanawake mnaitoa wapi?

    Hahahaa, Simba dume hakamati mnyama dhaifu ili ale.
  5. rahamis

    JamiiForums Tanzania Hakuna ambaye akifa ni sawa na mwingine

    Ila kinyume cha Upinzani huko hukuna mijitu yenye roho mbaya, wao ni malaika wote. Akili na matope ni vitu 2 tofauti, umeshindwa kugundua hata hilo? Nakuombea upone, vinginevyo ........ Sent using Jamii Forums mobile app
  6. rahamis

    JamiiForums Tanzania Kweli oa Mchaga upate maendeleo na oa Mtanga upate mapenzi

    Tanga ya leo au ya kadeni? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. rahamis

    JamiiForums Tanzania Okwi huyu! Hapana.....

    Labda angekuwa kwao ndo angekuwa fit. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. rahamis

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unayejiona upo sawa na Mwanaume, jua laana inakuandama na ishaanza kukumeza

    Nadhani alichokosea mleta uzi, hakuweka neno "BAADHI YA....." ametaja kwa jumla shida ipo hapo tu, vinginevyo uzi wake una chembechembe za mantiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. rahamis

    JamiiForums Tanzania Jina Dr. Magufuli latawala kila mahali uchaguzi mkuu wa Kenya. Tanzania tunapata ujumbe gani?

    Naongezea kidogo, wanamsifia mamba anayekula mtoto wa jirani yao, siku akiliwa mtoto wao ndo watajua kwamba mamba si mdudu rafiki kwa binadamu. Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
  10. rahamis

    JamiiForums Tanzania Bila wakoloni kuja kutawala Africa,Je Africa tungekuwa wapi leo?

    Wanatubebesha historia ya uongo, wakidhani tunashindwa kufikiri, karne hizi si zile. Bado hawajaelewa tu? Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
  11. rahamis

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Jamani wauwaji muogopeni Mungu, mnaua watu wasio na hatia, hivi mnadhani hamtaingia kwenye mikono ya dola. Ipo siku mtajuta kwa uovu wenu mnaoufanya, dola ina mikono mirefu.
  12. rahamis

    JamiiForums Tanzania Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

    Haha jipu hukamuliwa wakati limeiva mkuu, vuta muda
  13. rahamis

    JamiiForums Tanzania Anthony Diallo amejitwisha zigo. Akina Mengi muongezeeni mzigo mwingine!!!

    Sio soon mkuu, ni kitambo bali hamkuwa mnafanya upembuzi yakinifu tu.
  14. rahamis

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Inaonekana sasa sheria zetu hazina kazi, kila mtu ana maamuzi yake binafsi. Ukikasirishwa fanya unachoweza, siyo? Nadhani wapongezaji ni wahusika wenyewe wanajipigia debe kimtindo ili waongezewe sembe. Si utaratibu mwema huo, mnapandikizi mawazo gandifu wa raia.
Back
Top Bottom