1.Ubahili: Nani anataka pesa zake ziwe za kufujwa?
2.Gubu: Hii ni tafasiri potofu, hakuna mwanaume anapenda vitu viharibike nyumani kwake, hakikisha nyumba safi,watoto wanalishwa,wasafi,chakula hakiharibiki(wanawake wengi wanatupa vyakula) Muongoze dada wa kazi jinsi ya kusaidia kazi. macho yake yanaona zaidi kwani ni number moja.
3.Uchoyo: Hii ni dhana potofu, Kwa mjini kila kitu ni pesa, wakija wageni kumi ndani ya wiki moja wote ukawapikia, inaamaana itabidi budget iongezeke na mshara wake haujaongezeka, yeye anatapata maumuvu kwani ndiye mtafutaji mkuu. Kijiji nako kumebadilika hali ya hewa sio nzuri sana sehemu nyingi hivyo mavuno machache na wanatumia hayo mavuno kusomesha watoto wao, na maendeleo mengine hivyo standard ya maisha yao imepanda na wanahitaji pesa zaidi kuliko mwanzao.
Kwa sasa lazima watu wote wabadlike, Hali ya maisha imebadilika, zaa watoto wachache, tumia pesa yako kwa matumizi ya muhimu kama wenzetu wa nchi zilizoendelea, hio itapendeza zaidi.