Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,971
- 54,097
Alishalainika?
Kijana ngoja kwanzaaa... Huko kifuani unatafuta nini? Mwenzio anaogopa coz mwenyewe una uzoefu kutoka kwa mabinti wawili kwa hiyo unaweza ukaanza kuleta tabia za ndama. Nani kakudanganya wewe ni wa kwanza? Kwa nini unaweka vitanda viwili chumbani? Kijana tafuta kitanda cha 2x5 yaani hata mkilala mnabanana vya kutosha na hata huko kukimbiakimbia ataacha tu.Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.
Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?
Nnaombeni ushauri wadau
Zitakuwa haziumi atakuwa anabonyeza kama anaua chawaLabda chuchu zinauma! Nawashauri mkawaone wataalam wa MEWATA
Hahaha hakika mkuu umemalizaKijana ngoja kwanzaaa... Huko kifuani unatafuta nini? Mwenzio anaogopa coz mwenyewe una uzoefu kutoka kwa mabinti wawili kwa hiyo unaweza ukaanza kuleta tabia za ndama. Nani kakudanganya wewe ni wa kwanza? Kwa nini unaweka vitanda viwili chumbani? Kijana tafuta kitanda cha 2x5 yaani hata mkilala mnabanana vya kutosha na hata huko kukimbiakimbia ataacha tu.
Na kingine huwa unabangua korosho (mikono migumu) coz usikute mwezio anaogopa asije kuambulia ngeu, na mwisho kwa issue ya busu inaonekana hapo kuna mushkeli, jibu kwanza haya maswali: je unavuta fegi au kunywa kilauri? Kama hapana je huwa unapiga mswaki vizuri? Je ukila nyama au chakula kinachosababisha kunakuwa na mabaki katikati ya meno unaondoa? coz vinginevyo mdomo utakuwa unatoa harufu kama chemba. Pole sana coz huyo mwali anaonekana kama bado hajaakomaa na kingine tuliza akili kwanza utatue hilo swala mambo ya kwenda kushtakiana kwa wakwe ooo... namshika kifua anakimbi, ooo.... nikimshika anarusha mateke kama ndama na blabla............. sasasawa kijana
Kwani huku "shake before use"?,hizo ndio hasara zake sasaMimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.
Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?
Nnaombeni ushauri wadau
Huo ni mchanga wa Buzwagi uundie tume ya wataalam mkuu.Sssa maana ya mwili mmoja hapo ipo wapi? Kila mmoja awe huru na mwili wa mwenzake hiyo ndio maana ya ndoa mambo ya kupeana masharti yanatoka wapi tena