Kama ndo hivo hata wewe huna unaembadirishia mtizamo wake as long as unakiri kuwa Kila mtu Aishi vile amepangiwa kuishi na mola wake,,Nature inaweza kukufanya uwe mnyonge au mwenye nguvu,,the same to Fikra,,So kama unaamini kuwa Hakuna anaekosea wala kupatia then nawewe hujapatia kutoa HII...
Uko sahihi Kwa % kubwa,,nyimbo kama ukikutana na ex wako unampakia mkoongooo* ukipata danga la kizungu nenda nalo Kwa mparange*** hakika inaondoa maadiri kabisa ya vijana wa Sasa hasa under 24
Russian Ukraine war is a planned war to change the people's mindsets,,mdororo wa uchumi ulikua mkubwa due to COVID-19 effects....hii vita inaamsha akili Kwa wale wenye akili zilizolala
Nahic hiyo itapunguza figisu za waarabu na timu kubwa pindi wawapo home grounds,,, maana inafikia hatua hadi marefa wanaaogopa wakiwa kwenye grounds za viwanja hivo
Mkuu umeongea vitu vyamaana xana, it makes sense,kwa maana sometimes mtu unaweza ona, hisi kitu, afu ukahisi km ushawahi kukiona au fanya hapo kabla japo ni kwa Mara yakwanza kuexperience
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.