Baada ya Bucha sasa ni zamu ya Izium (Ukraine)

Baada ya Bucha sasa ni zamu ya Izium (Ukraine)

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
Baada ya Majimbo ya Kyiv kukombolewa Bucha ikiwemo ndani yake na kushuhudia mauaji ya halaiki yaliyofanywa na wanajeshi wa Urusi dhidi ya raia wa Ukraine sasa ni zamu ya Izium.

Kama hii ndio special operation aliyojinadi Putin itakua ya masaa 72 siku tatu ya kuua malaki ya raia wa Ukraine wasio na hatia hakika Mungu azidi kuwapa nguvu raia wa Ukraine wanapozidi kupambania nchi yao na uhuru wao wa kujitawala,wanapitia kipindi kigumu sana hakika.

Mbaya zaidi ni vita ambavyo Putin kakaa ikulu na kuamrisha wanajeshi wake nendeni mkaue huko Ukraine kwa kigezo cha Special Operation ile KAULI YA VITA ISIKIE KWA JIRANI SASA NDIO NAANZA KUAMINI,ndugu zangu vita ni mbaya vita haifai nashauri hata rafiki yako akikuchokoza kimbia nenda kalale.

Baada ya majuzi wanajeshi wa Ukraine kupiga Counter offensive ya nguvu na kuchukua asilimia kubwa ya jimbo la Khakhiv zaidi ya makaburi 400 ya halaiki yamepatikana msituni huku mengi baada ya kufukuliwa wamekutwa raia wa Ukraine wakiwa wamezikwa tena wengine ni watoto hapo kuna familia/koo zimefutika kabisa kwa idadi wanasema ni maelfu ya watu.

Baada ya Mariopol na Kherson kukombolewa tutashuhudia maafa mengine ya mauaji ya halaiki kwa raia wasio na hatia, nlitegemea hili nafikiri kati ya majeshi wasio na nidhamu/weredi ni wanajeshi wa Rusia sababu nyepesi tu jeshi lina vikundi vingi sana mara Wagner group, Kaydrov...nk wakipigana kwa makubaliano ya kulipwa hawa watajali pesa na uporaji tu.

Kwa mfano wa karibu Wagner group wameanza kupita magerezani na kutafuta wafungwa kwa kigezo baada ya vita kwisha kama hujafa unatolewa gerezani ndio msamaha wako.

Poleni sana wa UKRAINE kwa mnayo pitia
Aljazeera news saa tatu. Grave after grave, local police says 440 bodies has been found.
 
... Putin alaaniwe milele!
Yaani mm niliona wazungu wanauana naona sawa tu maana Hawa huwa wakiona watu wa jamii nyingine wakigombana hukimbilia kupatanisha wapatanishane nawao tuone
 
Ukisoma nyuzi za watz, kwanza hawajui mgogoro, na hawajui maan ya mgogoro. Wanadandia treni kwa mbele bila kufikiria na kufanya tafiti. Ushabiki kila kitu sio kitu kizuri. Ndio maana ccm wanatushika adabu maana nchi ina watu wajinga kupitiliza
 
Kiongozi umepaniki sana halafu umechanganya mambo mengi mara Ccm halafu pointi hujagusa
Ehee sema sasa ulitaka kusema nini kwamba huo mgogoro ndio haki Putin kuua raia maelfu kwa maelfu
 
Yaani mm niliona wazungu wanauana naona sawa tu maana Hawa huwa wakiona watu wa jamii nyingine wakigombana hukimbilia kupatanisha wapatanishane nawao tuone
Warusi sio wazungu.
 
Russian Ukraine war is a planned war to change the people's mindsets,,mdororo wa uchumi ulikua mkubwa due to COVID-19 effects....hii vita inaamsha akili Kwa wale wenye akili zilizolala
 
mnafikiri simba na yanga . vita ya warusi nyinyi hamjui kaeni mzungumzie diamond au simba
 
mnafikiri simba na yanga . vita ya warusi nyinyi hamjui kaeni mzungumzie diamond au simba

Hahaha twambie wewe msemaji wa Kremlin, huyo diamond ndio nani kwani unafikiria wewe unavyomfwatilia ndio kila mtu yupo kama wewe.
IMG_0431.jpg

Hayo ndiyo anayofanya rafiki yako Putin
IMG_0430.jpg
 
Russian Ukraine war is a planned war to change the people's mindsets,,mdororo wa uchumi ulikua mkubwa due to COVID-19 effects....hii vita inaamsha akili Kwa wale wenye akili zilizolala

You cant be serious buddy you plan to kill innocent civilians because of nonsense propaganda In Ukraine people are suffering,Hundreds of people are dying and then you say because of covid stop this nonsense logic
 
Ukisoma nyuzi za watz, kwanza hawajui mgogoro, na hawajui maan ya mgogoro. Wanadandia treni kwa mbele bila kufikiria na kufanya tafiti. Ushabiki kila kitu sio kitu kizuri. Ndio maana ccm wanatushika adabu maana nchi ina watu wajinga kupitiliza

Labda wewe[emoji35]
 
Back
Top Bottom