Recent content by Rafa kilenza

  1. R

    CCM ni chama imara sana

    CCM NI IMARA MNOO TOFAUTI NA INAVYOELEZWA NA WAPINZANI DHAIFU WA NCHI HII Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi na baada ya uchaguzi walikua wanasema Magufuli yuko vizuri lakini tatizo Lililopo ni MFUMO. Wakasema magufuli ndie kiongozi Sahihi wa Tanzania kwa wakati huu lakini tatizo anatoka...
  2. R

    CCM ni chama imara sana

    WAPINZANI KUSHINDA NAFASI YA URAIS NI NDOTO ------------------------------------------------------------------------ Upinzani Tanzania ni muhimu lakini kuhusu kushinda nafasi ya urais kwenye uchaguzi halali ni ndoto isiyowezekana pengine ndoto ya upinzani kwenda magogoni iliyeyuka rasmi 25...
  3. R

    Urafiki wa mashaka wa vituo vya redio

    Kwa Mujibu wa waziri Mwakyembe Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu sana Kuna kijana anaitwa NJINGU huyu alikuwa pale Airport Dar kitengo cha usalama ndiye aliyemsaidia Mwakyembe kukamata madawa ya kulevya pale uwanjani Huyu kijana baada ya kujulikana kuwa yeye ndio mfanya mipango ya kukamata...
  4. R

    Barua ya wazi kwa Rais John Magufuli

    UJUMBE WA WAZI KWA MH RAISI JOHN JOSEPH MAGUFULI Salam mkuu Naandika huu ujumbe leo saa 03:07 usiku Kabla ya yote naomba nikupongeze na kukupa pole kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuiongoza nchi yetu Hakika kila siku zinavozidi kwenda napata amani zaidi kwamba tulipata raisi muafaka kabisa...
  5. R

    Mkoa wa Kigoma kukusanya 10 bilioni kwa mwaka ni aibu

    Kikao maalumu cha RCC mkoa wa Kigoma kimefanyika jana tar 17/ 03/2017 Kupitia kikao hicho wameonesha kwamba kwa bajeti ya mwaka wa fedha July 2017 to June 2018( financial year 2017-2018) Mkoa wa kigoma wenye jumla ya wilaya nane utakusanya mapato ya ndani( domestic revenue) kiasi cha Tsh...
  6. R

    Mkoa wa Kigoma kukusanya 10 bilioni kwa mwaka ni aibu

    Kikao maalumu cha RCC mkoa wa Kigoma kimefanyika jana tar 17/ 03/2017 Kupitia kikao hicho wameonesha kwamba kwa bajeti ya mwaka wa fedha July 2017 to June 2018( financial year 2017-2018) Mkoa wa kigoma wenye jumla ya wilaya nane utakusanya mapato ya ndani( domestic revenue) kiasi cha Tsh...
  7. R

    Manji huenda sio raia wa Tanzania

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakataza mtanzania yeyote yule kumiliki uraia wa nchi mbili Ni kosa kubwa kisheria kumiliki Hati za kusafiria(Passport) za nchi mbili tofauti Mtanzania yeyote yule anayemiliki uraia wa nchi mbili huyo ametenda kosa la Jinai Kama ni kweli Yusufu Manji...
  8. R

    Zitto Kabwe si mkweli

    ZITTO KABWE AWAAMBIE UKWELI WANANCHI WA KIGOMA MJINI KUHUSU MAMBO HAYA Jana mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha act wazalendo ndugu zitto z kabwe alifanya mkutano wa hadhara katika kata ya Gungu Na katika mkutano huo zitto alilamika sana kuhusu serikali kuu kushindwa kupeleka...
  9. R

    Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Nadhani kwa sasa Agenda kuu ya vyama vya upinzani sio katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi Agenda kubwa walizonazo ambazo ni za muhimu sana kwa wao kwenda ikulu ni njaa na swala la vyeti feki Endeleeni hivyo hivyo na movement ya cheti cha mtu mmoja adi ikifika 2019 ndio mtajua nini maana ya...
  10. R

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    GWAJIMA SI MKRISTO KUWA SAFI katika vitabu vyote vya kikristo ambavyo vimeandika kuwa unapotoa majini kwa mgonjwa sharti uyatume kwa binadamu mwenzako hakuna hicho kitu Hakuna hata sehemu moja ya maandiko yanayosema hivyo nadhani huyu anajua anatumia nguvu za namna gani nadhani amezitoa kule...
  11. R

    Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    katika vitabu vyote vya kikristo ambavyo vimeandika kuwa unapotoa majini kwa mgonjwa sharti uyatume kwa binadamu mwenzako hakuna hicho kitu Hakuna hata sehemu moja ya maandiko yanayosema hivyo nadhani huyu anajua anatumia nguvu za namna gani nadhani amezitoa kule Nigeria Hata Yesu Kristo...
  12. R

    Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa TLS

    Mim ni member wa Nbaa
  13. R

    Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa TLS

    TUNDU LISSU HAFAI KUWA RAISI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA LAWYER SOCIETY (TLS) Chama cha wanasheria Tanzania ni moja ya taasisi zinazojitegemea na zenye katiba zao na miongozo yao ambayo kimsingi na kisheria hazipaswi kuingiliwa kabisa na serikali kwa namna yeyote ile. Katika nchi yetu...
  14. R

    WAPINZANI WAMEKOSA AGENDA ZA KUJENGA VYAMA VYAO

    WAPINZANI WAMEKOSA AGENDA ZA KUJENGA VYAMA VYAO Wapinzani wa Tanzania wamekosa agenda za kisiasa ndio maana wameamua kubeba agenda za kinafiki Leo hii wanasubiIia agenda kutoka mitandaoni ndio ziwe agenda za chama tena kwa habari za majungu na unafiki uliotukuka Leo hii kiongozi wa agenda...
  15. R

    WAPINZANI WAMEKOSA AGENDA ZA KUJENGA CHAMA

    WAPINZANI WAMEKOSA AGENDA ZA KUJENGA VYAMA VYAO Wapinzani wa Tanzania wamekosa agenda za kisiasa ndio maana wameamua kubeba agenda za kinafiki Leo hii wanasubiIia agenda kutoka mitandaoni ndio ziwe agenda za chama tena kwa habari za majungu na unafiki uliotukuka Leo hii kiongozi wa agenda...
Back
Top Bottom