CCM ni chama imara sana

Rafa kilenza

Member
Jan 23, 2017
32
30
WAPINZANI KUSHINDA NAFASI YA URAIS NI NDOTO
------------------------------------------------------------------------
Upinzani Tanzania ni muhimu lakini kuhusu kushinda nafasi ya urais kwenye uchaguzi halali ni ndoto isiyowezekana pengine ndoto ya upinzani kwenda magogoni iliyeyuka rasmi 25 October 2015.

Kwanini ndoto ya upinzani kwenda ikulu ilihitimishwa na EDWARD LOWASSA 2015 October 25 rasmi

1. Wapinzani hawana viongozi wenye kutosha nafasi ya urais (presidential leaders) wenye uwezo wa kupambana na CCM yenye shehena la viongozi na wanachama, wakati upinzani wanategemea mzee LOWASSA, LIPUMBA, SUMAYE wenye ukakasi mwingi CCM kuna viongozi wenye uwezo wa kupokea kofia ya Rais John Pombe Magufuli kama MWIGULU NCHEMBA, JANUARY MAKAMBA, HUSSEIN MWINYI, KASSIMU MAJALIWA (PM) , SAMIA SULUHU, ROSE MIGIRO, yaani ni orodha ndefu CCM kuna zaidi ya wanachama 400 wenye uwezo na sifa ya kuvaa kofia ya JPM mwaka 2025. Kuondoka kwa Dkt SLAA na kuyumba kwa mzee LOWASSA ni kuyeyuka kwa ndoto ya upinzani na ikulu.

2. Wapinzani hawana uwezo wa kuvumiliana kwenye misukosuko ya kisiasa na kujinasua kama ilivyo CCM, wakati CCM wakivuka vihunzi na kusonga mbele migogoro na misukosuko ya upinzani imekuwa sehemu ya kuyumba mpaka kwenye uchaguzi mfano misukosuko ya ZITTO KABWE dhidi ya CHADEMA ndiyo ilikuwa anguko lake kigoma na ukanda wake,

Mgogoro wa LYATONGA MREMA na NCCR-MAGEUZI ilikuwa hitimisho la NCCR-MAGEUZI ukanda Kilimanjaro, Arusha , Manyara na kwingine, mtifuoano wa Dk SLAA na CHADEMA ilikuwa kidonda kisichopona mpaka sasa hakuna mbadala wake CHADEMA ,

Mgogoro wa Prof LIPUMBA na CUF imekuwa anguko la CUF uchaguzi mdogo wa hivi karibuni wakati haya yakiwa upinzani CCM hakuna misukosuko wenye kuyumbisha chama kiasi cha kushindwa uchaguzi mfano Lyatonga Mrema alileta mnyukano akashindwa chama kikashinda, mzee Lowassa alileta mpasuko CCM ikashinda yeye akashindwa,

Na viongozi wengi kama Steve Wassira, Makongoro Nyerere, Sumaye wamewahi kujaribu kuitikisa CCM mwisho walishindwa wao chama kikashinda. Wapinzani wanapaswa kupata tiba ya kuvumilia na kutatua migogoro ili kwenda ikulu hili bado ni ndoto.

3. Wapinzani wanategemea makosa na madhaifu ya CCM kufanya siasa zao kitu kinachoweza kuwapa likizo ya kufanya siasa Mfano leo siasa zao ni PAUL MAKONDA na NAPE NNAUYE, awali ilikuwa bunge live na naibu spika, CCM na adhabu za wasaliti, sasa ni Rais ni uteuzi badala ya kujikita kwenye agenda muhimu kuhusu utekelezaji wa bajeti,

Agenda muhimu za maslahi wananch , watanzania wanategemea kuona mawazo mapya kwa wapinzani kuhusu elimu, huduma za afya , miundombinu, maslahi ya watumishi, Sera na mikakati kwenye utalii, kilimo,uvuvi na mengine siyo kulalamika bila kutoa njia mbadala.

Upinzani lazima uje na mawazo mbadala juu ya namna ya kuendesha nchi tofauti na CCM ili watanzania wapate kushawishika vinginevyo watakuwa wapiga kelele na matukio yanayopotezwa na matukio mapya. Kwenda magogoni kwa msaada wa madhaifu ya CCM yenye sura ya matukio ya wakati yasiyodumu itabaki ndoto.

4. Wapinzani wanapigana vita wao kwa wao kuliko kumpa hata CCM, siyo ajabu ACT WAZALENDO kuwa na vita dhidi ya CHADEMA kuliko hata CCM, CUF kumchapa NCCR-MAGEUZI siyo ajabu , CHADEMA kumtandika CUF ni kawaida sana Tanzania hata wanapoamua kuungana bado majeraha ya vita ya wao kwa wao hubaki kwenye mioyo ya wanachama na wafuasi wao mfano mzuri uchaguzi wa 2005 CHADEMA na CUF walipigana bila kujua ni faida kwa CCM,

2010 ndiyo vita ilikolea CUF na NCCR-MAGEUZI walipigwa na CHADEMA mpaka kiasi cha kushutumiana kutumika na CCM kwenye mikutano pengine walishambuliana kuliko hata kuomba kura, 2015 ikawa vita ya ACT WAZALENDO dhidi ya UKAWA kwa mazingira haya CCM inapata fursa ya kushinda kirahisi. Ili angalau wapinzani waisogelee ikulu lazima waungane ni ngumu sana ACT, CUF, NCCR-MAGEUZI, ADC, CHAUMA, TLP, UDP, CHADEMA ,nk kuwa kitu kimoja hata viongozi wa juu wakiamua bado wafuasi wao watagoma hadharani au kwenye nafsi.

5. Wapinzani hawana watu vijijini , upinzani wamejikita mijini wakati CCM wapo vizuri vijijini na wapo wastani mijini mwisho wa siku kwenye uchaguzi CCM inakusanya kura za kutosha kutoka vijijini inajumlisha na mgawanyo wa kura za mijini mchezo unaisha. Upinzani wanapaswa kulipa deni la kupata wafuasi vijijini kama CCM ndipo waanze vita ya kuelekea magogoni.

6. Wapinzani wanacheza ngoma za CCM bila kujitambua , mara nyingi wapinzani watanzania hujikuta katikati ya midundo ya CCM pasipo kujua mfano kupoteza muda mwingi kujadili marekebisho ya katiba ya CCM 2017, kutumia nguvu kubwa kujadili mchakato wa kupata mgombea wa CCM 2015 ,

kutumia nguvu nyingi kujadili uteuzi wa Rais bora hata mijadala yao ingekuwa katika uelekeo wa kujenga na kuimarisha upinzani lakini wanakuwa watoa mawazo na hisia utadhani wao ni wanachama wa CCM waliojeruhiwa na maamuzi ya CCM. Tabia ya upinzani kupoteza muda mwingi kucheza ngoma za CCM itawachelewesha sana kwenda ikulu hata kuyeyuka ndoto jumla.

7. Kuwepo viongozi wa upinzani waovu kuliko hata wa CCM, ili watanzania wachague upinzani wanahitaji kuona tofauti hasa kwenye uadilifu, nidhamu na weledi kutoka kwa viongozi wa upinzani katika mazingira ya viongozi wa upinzani wenye tuhuma za rushwa, ngono, ulevi, ugomvi, ukwepaji kodi , matumizi mabaya ya madaraka siyo rais kushinda urais . Wabunge, madiwani, wenyeviti, makatibu na viongozi wengine wa upinzani lazima waoneshe tofauti ili kuleta imani kwa watanzania vinginevyo CCM itatawala karne kadhaa.

8. Upinzani viongozi na waasisi (waanzilishi) wa chama ni bora kuliko chama , ndani ya vyama vya upinzani ni ngumu kupenyeza mawazo mapya maana kila kitu huhitimishwa na waasisi pamoja na viongozi wa chama mfano bila Mzee Edwin Mtei na Mbowe hakuna lolote linaweza kufanyika CHADEMA,bila Zitto Kabwe na Prof Kitila hakuna lolote ACT WAZALENDO, bila Mbatia NCCR-MAGEUZI haipo, bila Cheyo UDP haipo, bila Rungwe CHAUMA haipo tazama CUF walijaribu kupenyeza mageuzi ya uongozi bila prof Lipumba. Upinzani wanapaswa kuvifanya vyama mali ya wanachama ili kushinda urais hili ni ndoto.

9. Upinzani upatikanaji wa wagombea huacha mpasuko na majeraha makubwa kuliko CCM , pamoja na uchache wa wagombea wanaojitokeza upinzani kwenye ubunge wa jimbo, viti maalum, EAL, udiwani, urais, nk bado michakato huacha maumivu makubwa kutokana na njia za mkato kupitisha wagombea mfano ubunge wa EAL wamepitishwa Masha na Wenje CHADEMA huku nafasi zikiwa mbili badala ya kutoa fursa kwa vijana wanajaribu bahati zao kuomba kura bungeni, 2015 wagombea walipendekezwa na viongozi wandamizi huku wanachama wakiachwa midomo wazi majimboni,kupitishwa Edward Lowassa mgombea urais ndiyo mfano unaoishi.

10. Wapinzani wanategemea wafuasi kufanya kazi za chama huku CCM ikiwa na wanachama wenye uwezo wakufanya kazi za chama bila hata malipo, siyo ajabu upinzani kukosa hata mawakala wa kuhesabu kura zao , siyo ajabu upinzani wakakosa hata wanachama wa kupokea viongozi vijijini, wakati CCM mizizi yake ipo imara upinzani wameimarika matawi pasipo mizizi yenye afya.

Wanachama wa CCM wapo sehemu zote penye kazi za CCM lakini wapinzani hulazimika hata kusafirisha wanachama kwenda mikoani kuwa mawakala wa vyama kwenye uchaguzi achilia mbali hilo bado kura za wanachama ni uhakika kuliko za wafuasi, CCM kuna wanachama watiifu zaidi ya million nane sasa hivyo kuna kura za uhakika zaidi ya million tano tuseme million tatu wasaliti . Upinzani ongezene wanachama msitegemee kwenda ikulu kwa msaada wa wafuasi wanaobadilika kila dakika.

Kushinda nafasi ya urais kwenye uchaguzi siyo japo jepesi, lazima iwepo mipango ya muda mrefu, lazima ziwepo agenda endelevu, lazima wawepo watu wengi wenye uwezo na ubunifu, lazima uwepo ushirikiano wenye upendo.

CCM ipo imara kuanzia chini mpaka juu wakati upinzani ni kama uyoga juu imara chini dhoofu kiasi cha kuangushwa na viashiria vya upepo kabla hata ya upepo wenyewe kuvuma.

CHAMA CHA MAPINDUZI NI TAASISI IMARA ANGUKO LAKE SIYO LEO WALA KESHO
 
1. Wapinzani hawana viongozi wenye kutosha nafasi ya urais (presidential leaders) wenye uwezo wa kupambana na CCM yenye shehena la viongozi na wanachama ,wakati upinzani wanategemea mzee LOWASSA, LIPUMBA, SUMAYE wenye ukakasi mwingi CCM kuna viongozi wenye uwezo wa kupokea kofia ya Rais John Pombe Magufuli kama MWIGULU NCHEMBA, JANUARY MAKAMBA, HUSSEIN MWINYI, KASSIMU MAJALIWA (PM) , SAMIA SULUHU, ROSE MIGIRO, yaani ni orodha ndefu CCM kuna zaidi ya wanachama 400 wenye uwezo na sifa ya kuvaa kofia ya JPM mwaka 2025. Kuondoka kwa Dkt SLAA na kuyumba kwa mzee LOWASSA ni kuyeyuka kwa ndoto ya upinzani na ikulu.

2. Wapinzani hawana uwezo wa kuvumiliana kwenye misukosuko ya kisiasa na kujinasua kama ilivyo CCM, wakati CCM wakivuka vihunzi na kusonga mbele migogoro na misukosuko ya upinzani imekuwa sehemu ya kuyumba mpaka kwenye uchaguzi mfano misukosuko ya ZITTO KABWE dhidi ya CHADEMA ndiyo ilikuwa anguko lake kigoma na ukanda wake, mgogoro wa LYATONGA MREMA na NCCR-MAGEUZI ilikuwa hitimisho la NCCR-MAGEUZI ukanda Kilimanjaro, Arusha , Manyara na kwingine, mtifuoano wa Dk SLAA na CHADEMA ilikuwa kidonda kisichopona mpaka sasa hakuna mbadala wake CHADEMA , mgogoro wa Prof LIPUMBA na CUF imekuwa anguko la CUF uchaguzi mdogo wa hivi karibuni wakati haya yakiwa upinzani CCM hakuna misukosuko wenye kuyumbisha chama kiasi cha kushindwa uchaguzi mfano Lyatonga Mrema alileta mnyukano akashindwa chama kikashinda, mzee Lowassa alileta mpasuko CCM ikashinda yeye akashindwa, na viongozi wengi kama Steve Wassira, Makongoro Nyerere, Sumaye wamewahi kujaribu kuitikisa CCM mwisho walishindwa wao chama kikashinda. Wapinzani wanapaswa kupata tiba ya kuvumilia na kutatua migogoro ili kwenda ikulu hili bado ni ndoto.

3. Wapinzani wanategemea makosa na madhaifu ya CCM kufanya siasa zao kitu kinachoweza kuwapa likizo ya kufanya siasa Mfano leo siasa zao ni PAUL MAKONDA na NAPE NNAUYE, awali ilikuwa bunge live na naibu spika, CCM na adhabu za wasaliti, sasa ni Rais ni uteuzi badala ya kujikita kwenye agenda muhimu kuhusu utekelezaji wa bajeti, agenda muhimu za maslahi wananch , watanzania wanategemea kuona mawazo mapya kwa wapinzani kuhusu elimu, huduma za afya , miundombinu, maslahi ya watumishi, Sera na mikakati kwenye utalii, kilimo,uvuvi na mengine siyo kulalamika bila kutoa njia mbadala. Upinzani lazima uje na mawazo mbadala juu ya namna ya kuendesha nchi tofauti na CCM ili watanzania wapate kushawishika vinginevyo watakuwa wapiga kelele na matukio yanayopotezwa na matukio mapya. Kwenda magogoni kwa msaada wa madhaifu ya CCM yenye sura ya matukio ya wakati yasiyodumu itabaki ndoto.

4. Wapinzani wanapigana vita wao kwa wao kuliko kumpa hata CCM, siyo ajabu ACT WAZALENDO kuwa na vita dhidi ya CHADEMA kuliko hata CCM, CUF kumchapa NCCR-MAGEUZI siyo ajabu , CHADEMA kumtandika CUF ni kawaida sana Tanzania hata wanapoamua kuungana bado majeraha ya vita ya wao kwa wao hubaki kwenye mioyo ya wanachama na wafuasi wao mfano mzuri uchaguzi wa 2005 CHADEMA na CUF walipigana bila kujua ni faida kwa CCM, 2010 ndiyo vita ilikolea CUF na NCCR-MAGEUZI walipigwa na CHADEMA mpaka kiasi cha kushutumiana kutumika na CCM kwenye mikutano pengine walishambuliana kuliko hata kuomba kura, 2015 ikawa vita ya ACT WAZALENDO dhidi ya UKAWA kwa mazingira haya CCM inapata fursa ya kushinda kirahisi. Ili angalau wapinzani waisogelee ikulu lazima waungane ni ngumu sana ACT, CUF, NCCR-MAGEUZI, ADC, CHAUMA, TLP, UDP, CHADEMA ,nk kuwa kitu kimoja hata viongozi wa juu wakiamua bado wafuasi wao watagoma hadharani au kwenye nafsi.

6. Wapinzani wanacheza ngoma za CCM bila kujitambua , mara nyingi wapinzani watanzania hujikuta katikati ya midundo ya CCM pasipo kujua mfano kupoteza muda mwingi kujadili marekebisho ya katiba ya CCM 2017, kutumia nguvu kubwa kujadili mchakato wa kupata mgombea wa CCM 2015 ,kutumia nguvu nyingi kujadili uteuzi wa Rais bora hata mijadala yao ingekuwa katika uelekeo wa kujenga na kuimarisha upinzani lakini wanakuwa watoa mawazo na hisia utadhani wao ni wanachama wa CCM waliojeruhiwa na maamuzi ya CCM. Tabia ya upinzani kupoteza muda mwingi kucheza ngoma za CCM itawachelewesha sana kwenda ikulu hata kuyeyuka ndoto jumla.

10. Wapinzani wanategemea wafuasi kufanya kazi za chama huku CCM ikiwa na wanachama wenye uwezo wakufanya kazi za chama bila hata malipo, siyo ajabu upinzani kukosa hata mawakala wa kuhesabu kura zao , siyo ajabu upinzani wakakosa hata wanachama wa kupokea viongozi vijijini, wakati CCM mizizi yake ipo imara upinzani wameimarika matawi pasipo mizizi yenye afya. Wanachama wa CCM wapo sehemu zote penye kazi za CCM lakini wapinzani hulazimika hata kusafirisha wanachama kwenda mikoani kuwa mawakala wa vyama kwenye uchaguzi achilia mbali hilo bado kura za wanachama ni uhakika kuliko za wafuasi, CCM kuna wanachama watiifu zaidi ya million nane sasa hivyo kuna kura za uhakika zaidi ya million tano tuseme million tatu wasaliti . Upinzani ongezene wanachama msitegemee kwenda ikulu kwa msaada wa wafuasi wanaobadilika kila dakika.

Hamna hoja hapo. Ni maneno kufikirika.
1. Msingekuwa na viongozi wenye uwezo wa urais wengi mkatuwekea huyu wa sasa hivi. Sipendi niseme chochote maana namuogopa sio namheshimu.
2. Mimi ninakaa kijijini na wilaya ya pembezoni Muleba. Ruhusu tu tume huru ya uchaguzi ndipo urajua ccm hawana chochote.
 
Halo, Rafa. Umeeleza mambo me-e-ngi kuhusu upinzani kutoweza kushinda 2020. Swali:Kama 2015 upinzani uliweza kupata zaidi ya asilimia 40 ya kura za urais, kwa nini huoni uwezekano wa upinzani kuwa umejiimarisha zaidi ili ifikapo 2020 wavuke wazidi asilimia 50 (yaani washinde urais)? Umesema ccm wamejiimarisha sana vijiji. Takwimu unazo? Kweli ilikuwa hivyo zamani. Sasa je? Hujiulizi ni kwa nini Mhe Rais au Waziri mkuu wanapoenda vijijini wanakutana na malalamiko me-e-ngi ya wananchi kudhulumiwa ardhi, wafugaji kulishia ng'ombe kwenye mashamba ya wakulima na mengine mengi? Wananchi kama hao wataipendaje ccm ambayo viongozi wake wa vijiji wilaya na mikoa wanashindwa kuwatatulia matatizo yao mpaka wangoje siku mkuu wa nchi au waziri mkuu apite? Habari ya ccm kuendelea kupendwa vijijini haipo tena. Sahau. Tena kabla ya uchaguzi 2015 kama Nape na Kinana hawakupita kwa kampeni kali vijijini ccm ilikuwa imeshaenda na maji. Tafakari ukweli huo
 
fake-news-essay.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo CCM inafaa?? Ukitaka kujua kuwa CCM ni dhaifu hata kuliko TLP jaribuni " Rais asiwe mwenyekiti wa chama". Kwa sasa utabwabwaja mengi kwa sababu hujui.
 
Tatizo letu tunashabikia vyama kama tunavyoshabikia simba na yanga bila kujali athari zake. Leo sukari ni sh 2400, debe la mahindi 25000 dawa hospitalini bado ni tatizo, haki za watumishi zimekataliwa, halafu unaeleza usen,ge wa hicho chama. Kachemshe bendera unywe supu wewe na nduguzo
 
WAPINZANI KUSHINDA NAFASI YA URAIS NI NDOTO
------------------------------------------------------------------------

Upinzani Tanzania ni muhimu lakini kuhusu kushinda nafasi ya urais kwenye uchaguzi halali ni ndoto isiyowezekana pengine ndoto ya upinzani kwenda magogoni iliyeyuka rasmi 25 October 2015.

Kwanini ndoto ya upinzani kwenda ikulu ilihitimishwa na EDWARD LOWASSA 2015 October 25 rasmi

1. Wapinzani hawana viongozi wenye kutosha nafasi ya urais (presidential leaders) wenye uwezo wa kupambana na CCM yenye shehena la viongozi na wanachama ,wakati upinzani wanategemea mzee LOWASSA, LIPUMBA, SUMAYE wenye ukakasi mwingi CCM kuna viongozi wenye uwezo wa kupokea kofia ya Rais John Pombe Magufuli kama MWIGULU NCHEMBA, JANUARY MAKAMBA, HUSSEIN MWINYI, KASSIMU MAJALIWA (PM) , SAMIA SULUHU, ROSE MIGIRO, yaani ni orodha ndefu CCM kuna zaidi ya wanachama 400 wenye uwezo na sifa ya kuvaa kofia ya JPM mwaka 2025. Kuondoka kwa Dkt SLAA na kuyumba kwa mzee LOWASSA ni kuyeyuka kwa ndoto ya upinzani na ikulu.

2. Wapinzani hawana uwezo wa kuvumiliana kwenye misukosuko ya kisiasa na kujinasua kama ilivyo CCM, wakati CCM wakivuka vihunzi na kusonga mbele migogoro na misukosuko ya upinzani imekuwa sehemu ya kuyumba mpaka kwenye uchaguzi mfano misukosuko ya ZITTO KABWE dhidi ya CHADEMA ndiyo ilikuwa anguko lake kigoma na ukanda wake, mgogoro wa LYATONGA MREMA na NCCR-MAGEUZI ilikuwa hitimisho la NCCR-MAGEUZI ukanda Kilimanjaro, Arusha , Manyara na kwingine, mtifuoano wa Dk SLAA na CHADEMA ilikuwa kidonda kisichopona mpaka sasa hakuna mbadala wake CHADEMA , mgogoro wa Prof LIPUMBA na CUF imekuwa anguko la CUF uchaguzi mdogo wa hivi karibuni wakati haya yakiwa upinzani CCM hakuna misukosuko wenye kuyumbisha chama kiasi cha kushindwa uchaguzi mfano Lyatonga Mrema alileta mnyukano akashindwa chama kikashinda, mzee Lowassa alileta mpasuko CCM ikashinda yeye akashindwa, na viongozi wengi kama Steve Wassira, Makongoro Nyerere, Sumaye wamewahi kujaribu kuitikisa CCM mwisho walishindwa wao chama kikashinda. Wapinzani wanapaswa kupata tiba ya kuvumilia na kutatua migogoro ili kwenda ikulu hili bado ni ndoto.

3. Wapinzani wanategemea makosa na madhaifu ya CCM kufanya siasa zao kitu kinachoweza kuwapa likizo ya kufanya siasa Mfano leo siasa zao ni PAUL MAKONDA na NAPE NNAUYE, awali ilikuwa bunge live na naibu spika, CCM na adhabu za wasaliti, sasa ni Rais ni uteuzi badala ya kujikita kwenye agenda muhimu kuhusu utekelezaji wa bajeti, agenda muhimu za maslahi wananch , watanzania wanategemea kuona mawazo mapya kwa wapinzani kuhusu elimu, huduma za afya , miundombinu, maslahi ya watumishi, Sera na mikakati kwenye utalii, kilimo,uvuvi na mengine siyo kulalamika bila kutoa njia mbadala. Upinzani lazima uje na mawazo mbadala juu ya namna ya kuendesha nchi tofauti na CCM ili watanzania wapate kushawishika vinginevyo watakuwa wapiga kelele na matukio yanayopotezwa na matukio mapya. Kwenda magogoni kwa msaada wa madhaifu ya CCM yenye sura ya matukio ya wakati yasiyodumu itabaki ndoto.

4. Wapinzani wanapigana vita wao kwa wao kuliko kumpa hata CCM, siyo ajabu ACT WAZALENDO kuwa na vita dhidi ya CHADEMA kuliko hata CCM, CUF kumchapa NCCR-MAGEUZI siyo ajabu , CHADEMA kumtandika CUF ni kawaida sana Tanzania hata wanapoamua kuungana bado majeraha ya vita ya wao kwa wao hubaki kwenye mioyo ya wanachama na wafuasi wao mfano mzuri uchaguzi wa 2005 CHADEMA na CUF walipigana bila kujua ni faida kwa CCM, 2010 ndiyo vita ilikolea CUF na NCCR-MAGEUZI walipigwa na CHADEMA mpaka kiasi cha kushutumiana kutumika na CCM kwenye mikutano pengine walishambuliana kuliko hata kuomba kura, 2015 ikawa vita ya ACT WAZALENDO dhidi ya UKAWA kwa mazingira haya CCM inapata fursa ya kushinda kirahisi. Ili angalau wapinzani waisogelee ikulu lazima waungane ni ngumu sana ACT, CUF, NCCR-MAGEUZI, ADC, CHAUMA, TLP, UDP, CHADEMA ,nk kuwa kitu kimoja hata viongozi wa juu wakiamua bado wafuasi wao watagoma hadharani au kwenye nafsi.

5. Wapinzani hawana watu vijijini , upinzani wamejikita mijini wakati CCM wapo vizuri vijijini na wapo wastani mijini mwisho wa siku kwenye uchaguzi CCM inakusanya kura za kutosha kutoka vijijini inajumlisha na mgawanyo wa kura za mijini mchezo unaisha. Upinzani wanapaswa kulipa deni la kupata wafuasi vijijini kama CCM ndipo waanze vita ya kuelekea magogoni.

6. Wapinzani wanacheza ngoma za CCM bila kujitambua , mara nyingi wapinzani watanzania hujikuta katikati ya midundo ya CCM pasipo kujua mfano kupoteza muda mwingi kujadili marekebisho ya katiba ya CCM 2017, kutumia nguvu kubwa kujadili mchakato wa kupata mgombea wa CCM 2015 ,kutumia nguvu nyingi kujadili uteuzi wa Rais bora hata mijadala yao ingekuwa katika uelekeo wa kujenga na kuimarisha upinzani lakini wanakuwa watoa mawazo na hisia utadhani wao ni wanachama wa CCM waliojeruhiwa na maamuzi ya CCM. Tabia ya upinzani kupoteza muda mwingi kucheza ngoma za CCM itawachelewesha sana kwenda ikulu hata kuyeyuka ndoto jumla.

7. Kuwepo viongozi wa upinzani waovu kuliko hata wa CCM, ili watanzania wachague upinzani wanahitaji kuona tofauti hasa kwenye uadilifu, nidhamu na weledi kutoka kwa viongozi wa upinzani katika mazingira ya viongozi wa upinzani wenye tuhuma za rushwa, ngono, ulevi, ugomvi, ukwepaji kodi , matumizi mabaya ya madaraka siyo rais kushinda urais . Wabunge, madiwani, wenyeviti, makatibu na viongozi wengine wa upinzani lazima waoneshe tofauti ili kuleta imani kwa watanzania vinginevyo CCM itatawala karne kadhaa.

8. Upinzani viongozi na waasisi (waanzilishi) wa chama ni bora kuliko chama , ndani ya vyama vya upinzani ni ngumu kupenyeza mawazo mapya maana kila kitu huhitimishwa na waasisi pamoja na viongozi wa chama mfano bila Mzee Edwin Mtei na Mbowe hakuna lolote linaweza kufanyika CHADEMA,bila Zitto Kabwe na Prof Kitila hakuna lolote ACT WAZALENDO, bila Mbatia NCCR-MAGEUZI haipo, bila Cheyo UDP haipo, bila Rungwe CHAUMA haipo tazama CUF walijaribu kupenyeza mageuzi ya uongozi bila prof Lipumba. Upinzani wanapaswa kuvifanya vyama mali ya wanachama ili kushinda urais hili ni ndoto.

9. Upinzani upatikanaji wa wagombea huacha mpasuko na majeraha makubwa kuliko CCM , pamoja na uchache wa wagombea wanaojitokeza upinzani kwenye ubunge wa jimbo, viti maalum, EAL, udiwani, urais, nk bado michakato huacha maumivu makubwa kutokana na njia za mkato kupitisha wagombea mfano ubunge wa EAL wamepitishwa Masha na Wenje CHADEMA huku nafasi zikiwa mbili badala ya kutoa fursa kwa vijana wanajaribu bahati zao kuomba kura bungeni, 2015 wagombea walipendekezwa na viongozi wandamizi huku wanachama wakiachwa midomo wazi majimboni,kupitishwa Edward Lowassa mgombea urais ndiyo mfano unaoishi.

10. Wapinzani wanategemea wafuasi kufanya kazi za chama huku CCM ikiwa na wanachama wenye uwezo wakufanya kazi za chama bila hata malipo, siyo ajabu upinzani kukosa hata mawakala wa kuhesabu kura zao , siyo ajabu upinzani wakakosa hata wanachama wa kupokea viongozi vijijini, wakati CCM mizizi yake ipo imara upinzani wameimarika matawi pasipo mizizi yenye afya. Wanachama wa CCM wapo sehemu zote penye kazi za CCM lakini wapinzani hulazimika hata kusafirisha wanachama kwenda mikoani kuwa mawakala wa vyama kwenye uchaguzi achilia mbali hilo bado kura za wanachama ni uhakika kuliko za wafuasi, CCM kuna wanachama watiifu zaidi ya million nane sasa hivyo kuna kura za uhakika zaidi ya million tano tuseme million tatu wasaliti . Upinzani ongezene wanachama msitegemee kwenda ikulu kwa msaada wa wafuasi wanaobadilika kila dakika.

Kushinda nafasi ya urais kwenye uchaguzi siyo japo jepesi, lazima iwepo mipango ya muda mrefu, lazima ziwepo agenda endelevu, lazima wawepo watu wengi wenye uwezo na ubunifu, lazima uwepo ushirikiano wenye upendo.

CCM ipo imara kuanzia chini mpaka juu wakati upinzani ni kama uyoga juu imara chini dhoofu kiasi cha kuangushwa na viashiria vya upepo kabla hata ya upepo wenyewe kuvuma.

CHAMA CHA MAPINDUZI NI TAASISI IMARA ANGUKO LAKE SIYO LEO WALA KESHO

wta3.jpg
 
Hajitambui kabisa huyu Mkuu.

Tatizo letu tunashabikia vyama kama tunavyoshabikia simba na yanga bila kujali athari zake. Leo sukari ni sh 2400, debe la mahindi 25000 dawa hospitalini bado ni tatizo, haki za watumishi zimekataliwa, halafu unaeleza usen,ge wa hicho chama. Kachemshe bendera unywe supu wewe na nduguzo
 
WAPINZANI KUSHINDA NAFASI YA URAIS NI NDOTO
------------------------------------------------------------------------
Upinzani Tanzania ni muhimu lakini kuhusu kushinda nafasi ya urais kwenye uchaguzi halali ni ndoto isiyowezekana pengine ndoto ya upinzani kwenda magogoni iliyeyuka rasmi 25 October 2015.

Kwanini ndoto ya upinzani kwenda ikulu ilihitimishwa na EDWARD LOWASSA 2015 October 25 rasmi

1. Wapinzani hawana viongozi wenye kutosha nafasi ya urais (presidential leaders) wenye uwezo wa kupambana na CCM yenye shehena la viongozi na wanachama, wakati upinzani wanategemea mzee LOWASSA, LIPUMBA, SUMAYE wenye ukakasi mwingi CCM kuna viongozi wenye uwezo wa kupokea kofia ya Rais John Pombe Magufuli kama MWIGULU NCHEMBA, JANUARY MAKAMBA, HUSSEIN MWINYI, KASSIMU MAJALIWA (PM) , SAMIA SULUHU, ROSE MIGIRO, yaani ni orodha ndefu CCM kuna zaidi ya wanachama 400 wenye uwezo na sifa ya kuvaa kofia ya JPM mwaka 2025. Kuondoka kwa Dkt SLAA na kuyumba kwa mzee LOWASSA ni kuyeyuka kwa ndoto ya upinzani na ikulu.

2. Wapinzani hawana uwezo wa kuvumiliana kwenye misukosuko ya kisiasa na kujinasua kama ilivyo CCM, wakati CCM wakivuka vihunzi na kusonga mbele migogoro na misukosuko ya upinzani imekuwa sehemu ya kuyumba mpaka kwenye uchaguzi mfano misukosuko ya ZITTO KABWE dhidi ya CHADEMA ndiyo ilikuwa anguko lake kigoma na ukanda wake,

Mgogoro wa LYATONGA MREMA na NCCR-MAGEUZI ilikuwa hitimisho la NCCR-MAGEUZI ukanda Kilimanjaro, Arusha , Manyara na kwingine, mtifuoano wa Dk SLAA na CHADEMA ilikuwa kidonda kisichopona mpaka sasa hakuna mbadala wake CHADEMA ,

Mgogoro wa Prof LIPUMBA na CUF imekuwa anguko la CUF uchaguzi mdogo wa hivi karibuni wakati haya yakiwa upinzani CCM hakuna misukosuko wenye kuyumbisha chama kiasi cha kushindwa uchaguzi mfano Lyatonga Mrema alileta mnyukano akashindwa chama kikashinda, mzee Lowassa alileta mpasuko CCM ikashinda yeye akashindwa,

Na viongozi wengi kama Steve Wassira, Makongoro Nyerere, Sumaye wamewahi kujaribu kuitikisa CCM mwisho walishindwa wao chama kikashinda. Wapinzani wanapaswa kupata tiba ya kuvumilia na kutatua migogoro ili kwenda ikulu hili bado ni ndoto.

3. Wapinzani wanategemea makosa na madhaifu ya CCM kufanya siasa zao kitu kinachoweza kuwapa likizo ya kufanya siasa Mfano leo siasa zao ni PAUL MAKONDA na NAPE NNAUYE, awali ilikuwa bunge live na naibu spika, CCM na adhabu za wasaliti, sasa ni Rais ni uteuzi badala ya kujikita kwenye agenda muhimu kuhusu utekelezaji wa bajeti,

Agenda muhimu za maslahi wananch , watanzania wanategemea kuona mawazo mapya kwa wapinzani kuhusu elimu, huduma za afya , miundombinu, maslahi ya watumishi, Sera na mikakati kwenye utalii, kilimo,uvuvi na mengine siyo kulalamika bila kutoa njia mbadala.

Upinzani lazima uje na mawazo mbadala juu ya namna ya kuendesha nchi tofauti na CCM ili watanzania wapate kushawishika vinginevyo watakuwa wapiga kelele na matukio yanayopotezwa na matukio mapya. Kwenda magogoni kwa msaada wa madhaifu ya CCM yenye sura ya matukio ya wakati yasiyodumu itabaki ndoto.

4. Wapinzani wanapigana vita wao kwa wao kuliko kumpa hata CCM, siyo ajabu ACT WAZALENDO kuwa na vita dhidi ya CHADEMA kuliko hata CCM, CUF kumchapa NCCR-MAGEUZI siyo ajabu , CHADEMA kumtandika CUF ni kawaida sana Tanzania hata wanapoamua kuungana bado majeraha ya vita ya wao kwa wao hubaki kwenye mioyo ya wanachama na wafuasi wao mfano mzuri uchaguzi wa 2005 CHADEMA na CUF walipigana bila kujua ni faida kwa CCM,

2010 ndiyo vita ilikolea CUF na NCCR-MAGEUZI walipigwa na CHADEMA mpaka kiasi cha kushutumiana kutumika na CCM kwenye mikutano pengine walishambuliana kuliko hata kuomba kura, 2015 ikawa vita ya ACT WAZALENDO dhidi ya UKAWA kwa mazingira haya CCM inapata fursa ya kushinda kirahisi. Ili angalau wapinzani waisogelee ikulu lazima waungane ni ngumu sana ACT, CUF, NCCR-MAGEUZI, ADC, CHAUMA, TLP, UDP, CHADEMA ,nk kuwa kitu kimoja hata viongozi wa juu wakiamua bado wafuasi wao watagoma hadharani au kwenye nafsi.

5. Wapinzani hawana watu vijijini , upinzani wamejikita mijini wakati CCM wapo vizuri vijijini na wapo wastani mijini mwisho wa siku kwenye uchaguzi CCM inakusanya kura za kutosha kutoka vijijini inajumlisha na mgawanyo wa kura za mijini mchezo unaisha. Upinzani wanapaswa kulipa deni la kupata wafuasi vijijini kama CCM ndipo waanze vita ya kuelekea magogoni.

6. Wapinzani wanacheza ngoma za CCM bila kujitambua , mara nyingi wapinzani watanzania hujikuta katikati ya midundo ya CCM pasipo kujua mfano kupoteza muda mwingi kujadili marekebisho ya katiba ya CCM 2017, kutumia nguvu kubwa kujadili mchakato wa kupata mgombea wa CCM 2015 ,

kutumia nguvu nyingi kujadili uteuzi wa Rais bora hata mijadala yao ingekuwa katika uelekeo wa kujenga na kuimarisha upinzani lakini wanakuwa watoa mawazo na hisia utadhani wao ni wanachama wa CCM waliojeruhiwa na maamuzi ya CCM. Tabia ya upinzani kupoteza muda mwingi kucheza ngoma za CCM itawachelewesha sana kwenda ikulu hata kuyeyuka ndoto jumla.

7. Kuwepo viongozi wa upinzani waovu kuliko hata wa CCM, ili watanzania wachague upinzani wanahitaji kuona tofauti hasa kwenye uadilifu, nidhamu na weledi kutoka kwa viongozi wa upinzani katika mazingira ya viongozi wa upinzani wenye tuhuma za rushwa, ngono, ulevi, ugomvi, ukwepaji kodi , matumizi mabaya ya madaraka siyo rais kushinda urais . Wabunge, madiwani, wenyeviti, makatibu na viongozi wengine wa upinzani lazima waoneshe tofauti ili kuleta imani kwa watanzania vinginevyo CCM itatawala karne kadhaa.

8. Upinzani viongozi na waasisi (waanzilishi) wa chama ni bora kuliko chama , ndani ya vyama vya upinzani ni ngumu kupenyeza mawazo mapya maana kila kitu huhitimishwa na waasisi pamoja na viongozi wa chama mfano bila Mzee Edwin Mtei na Mbowe hakuna lolote linaweza kufanyika CHADEMA,bila Zitto Kabwe na Prof Kitila hakuna lolote ACT WAZALENDO, bila Mbatia NCCR-MAGEUZI haipo, bila Cheyo UDP haipo, bila Rungwe CHAUMA haipo tazama CUF walijaribu kupenyeza mageuzi ya uongozi bila prof Lipumba. Upinzani wanapaswa kuvifanya vyama mali ya wanachama ili kushinda urais hili ni ndoto.

9. Upinzani upatikanaji wa wagombea huacha mpasuko na majeraha makubwa kuliko CCM , pamoja na uchache wa wagombea wanaojitokeza upinzani kwenye ubunge wa jimbo, viti maalum, EAL, udiwani, urais, nk bado michakato huacha maumivu makubwa kutokana na njia za mkato kupitisha wagombea mfano ubunge wa EAL wamepitishwa Masha na Wenje CHADEMA huku nafasi zikiwa mbili badala ya kutoa fursa kwa vijana wanajaribu bahati zao kuomba kura bungeni, 2015 wagombea walipendekezwa na viongozi wandamizi huku wanachama wakiachwa midomo wazi majimboni,kupitishwa Edward Lowassa mgombea urais ndiyo mfano unaoishi.

10. Wapinzani wanategemea wafuasi kufanya kazi za chama huku CCM ikiwa na wanachama wenye uwezo wakufanya kazi za chama bila hata malipo, siyo ajabu upinzani kukosa hata mawakala wa kuhesabu kura zao , siyo ajabu upinzani wakakosa hata wanachama wa kupokea viongozi vijijini, wakati CCM mizizi yake ipo imara upinzani wameimarika matawi pasipo mizizi yenye afya.

Wanachama wa CCM wapo sehemu zote penye kazi za CCM lakini wapinzani hulazimika hata kusafirisha wanachama kwenda mikoani kuwa mawakala wa vyama kwenye uchaguzi achilia mbali hilo bado kura za wanachama ni uhakika kuliko za wafuasi, CCM kuna wanachama watiifu zaidi ya million nane sasa hivyo kuna kura za uhakika zaidi ya million tano tuseme million tatu wasaliti . Upinzani ongezene wanachama msitegemee kwenda ikulu kwa msaada wa wafuasi wanaobadilika kila dakika.

Kushinda nafasi ya urais kwenye uchaguzi siyo japo jepesi, lazima iwepo mipango ya muda mrefu, lazima ziwepo agenda endelevu, lazima wawepo watu wengi wenye uwezo na ubunifu, lazima uwepo ushirikiano wenye upendo.

CCM ipo imara kuanzia chini mpaka juu wakati upinzani ni kama uyoga juu imara chini dhoofu kiasi cha kuangushwa na viashiria vya upepo kabla hata ya upepo wenyewe kuvuma.

CHAMA CHA MAPINDUZI NI TAASISI IMARA ANGUKO LAKE SIYO LEO WALA KESHO
Mambo yangekuwa kirahisi namna hii Nape asingetumia nguvu ya ziada kuiokoa CCM iliyokuwa inakwenda kutumbukia shimoni.
 
CCM NI IMARA MNOO TOFAUTI NA INAVYOELEZWA NA WAPINZANI DHAIFU WA NCHI HII

Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi na baada ya uchaguzi walikua wanasema Magufuli yuko vizuri lakini tatizo Lililopo ni MFUMO.
Wakasema magufuli ndie kiongozi Sahihi wa Tanzania kwa wakati huu lakini tatizo anatoka CCM,wakasema ana uwezo na nia ya dhati ya kuitendea mema nchi hii lakini tatizo ni MFUMO.

Magufuli amekua Rais tayari, na mwelekeo wake umeonekana kuanzia udhibiti wa mapato, udhibiti wa matumizi ya serikali, udhibiti wa nidhamu ya watumishi, uendelezaji na ujenzi wa miundo mbinu ya bara bara, reli,bandari na majengo mbali mbali.

Katika kuchukua hatua hizo ambazo ni kwa manufaa ya kizazi cha Leo na vizazi vijavyo, WAMEIBUKA wapinzani wa kupinga kila jema linalofanywa.

Bahati mbaya sana wanapinga kila jambo hata yanayowanufaisha wao na vizazi vyao, wanatetea kila dhambi hata dhambi ambazo hapo mwanzo walilia hadharani kuwa wanazichukia.

Sasa hawataji tena mfumo, lakini baada ya Magufuli kuwa Rais tumegundua yafuatayo :
MFUMO unaotajwa sio CCM kama umma ulivyoaminishwa hapo awali wala sio serikali kama walivyojaraibu kutuambia.
MFUMO ni watu,watu kutoka kada zote ambao wana maslahi katika sekta mbali mbali na wanatengeneza namna ya kuwezesha mambo yao na kulinda maslahi yao.

Kwa sababu ya kuwa na maslahi na kuyalinda maslahi hayo ambayo kimsingi ni ya kiuchumi basi namna inayowawezesha kujipenyeza katika sekta na nyanja mbali mbali kama vile siasa,serikali, makampuni ya umma na binafsi,Sanaa na michezo na vyombo vya habari.

Hivyo watu Hawa wanaounda mfumo huu,wapo kwenye vyema vya siasa kama wanachama wa kawaida, kama viongozi wa ngazi mbali mbali za vyama na kama wafadhili.,hali iko hivyo hivyo hata kwenye vilabu vya michezo,kwenye Sanaa kama muziki na biashara nzima ya soko la burudani, kwenye biashara kuanzia manunuzi ya kila siku serikali na taasisi zake,mabenki na mfumo mzima wa biashara zinazohusisha wawekezaji wa ndani na Wa nje, wakubwa na wadogo.

Ni wenzetu wenye maslahi yao kwenye maisha yetu,vyama vya siasa,serikali, klabu za michezo na burudani ni vichaka tu vya wao kujificha.
Waswahili wanasema "rusha jiwe kichakani,utawajua waliomo",, ukirusha jiwe kichakani,waliofichama humo aidha wataonekana wanakimbia au utasikia kelele za maumivu!!
Rais Magufuli katika utekelezaji wake wa majukumu yake kama Rais wa awamu ya tano,utekelezaji unaohusu kumkomboa mtanzania masikini na kuijenga Tanzania mpya itayokuwa kioo kwa afrika na dunia nzima, amegusa MFUMO. Amerusha jiwe kichakani na waliofichama humo tumeanza kuwajua,, tunawaona wakitimua mbio, tumesikia vilio vyao.

Ule MFUMO sio CCM bali ni watu ambao walifanya CCM kuwa kichaka, baadhi yao baada ya kuguswa wamelalama na tumewasikia,,hata walipoguswa wengine ambao hawako CCM ambao tuhuma ya dhambi zao ni nzito na aina ya dhambi zao ni mbaya kiasi kwamba Ibilisi m wenyewe akizisikia anajificha,,, wametetewa na waliojinasibu kuwa ni wachukia dhambi wakubwa,walipoona CCM hakufai wamekimbilia upande mwingine ambako mchana jua likiwa linawaka na mbele ya macho ya kila mmoja wakawapokea kama mashujaa.

Kwa hiyo MFUMO waliousema kumbe wao wanautunza nyumbani kwao. Sasa hivi walichoamua kufanya ni kutafuta waumini kutoka miongoni mwa watanzania wanaopiganiwa na Rais Magufuli, wakawapa kazi ya kuwa waitikiaji wa nyimbo zao, mema yote yanayotendwa na Rais kwa ajili ya Watanzania Hawa yanachafuliwa.

Wamefungwa vitambaa vyeusi machoni, vitambaa hivyo vinaitwa vyombo vya habari na social media. Vitambaa ambavyo tulivipokea ili tuvitumie kushona nguo nzuri za kutusitiri,badala yake tunavitumia kufunika macho yetu ili tusione. Na masikio yote tumesokomeza pamba nzito ili tusisikie.

MFUMO unachofanya ni kunyofoa kidogo pamba za masikioni mwetu na kutuambia maneno ya kusema huku tukiambiwa huo ndio ukweli.
Vyombo vya habari, vyenye wajibu wa kuandika habari sasa vinaandika maoni yao. Vyombo vya habari ni kiungo kati ya wananchi na mambo yanayoendelea kama vile shughuli mbali mbali za Rais na serikali kwa ujumla,Leo vyombo vya habari na social media vina kazi ya kuchukua taarifa na kuzichuja ili kuzalisha upotoshaji dhidi ya serikali.

Hiyo ndiyo kazi ya MFUMO, MUNGU ametupa Rais Magufuli ili tuujue ukweli, tuujue huo unaoitwa MFUMO,tujitambue na tutambuane.

Rafa lukindo
0765499321
 
IMG_0412.JPG
Kama kweli Muumba Mbingu na Nchi yupo,CCM inabidi ninyi kikombe cha gadhabu Mkinywe mara Sabini siku ile ikifika.
Kwa sababu wewe umependa kulaani kuliko kubari hivyo hicho kinywa chako na kizazi chako mkapigwe na hiyo laana uliyo toa mara 100x70 wewe na uzao wako milele....hiyo ndiyo Siri ya uumbaji...,pokea ulicho nena milele yote
 
CCM Bila polisi ni wepesi kuliko toilet paper , Jakaya kikwete aliwahi kunukuliwa akisema kwamba , TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA .
 
Back
Top Bottom