Recent content by radicals

  1. radicals

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuondoa majitaka kwa njia mbadala

    Habari wanajamvi, eti kuna njia ya kupunguza mzigo wa majitaka kwa njia mbadala. Kuna mtu kanishauri ninunue chumvi kg 5 , chlorine lita 1 na chokaa kg 5 nichanganye pamoja halafu nimwage ndani ya shimo? Je ni kweli? Nahofia nisije nikatengeneza bomu mambo yakaharibika zaidi
  2. radicals

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu hiyo si kimasihara, mademu wa lodge wapo easy sana, nashangaa ulitumia zaidi ya wiki kuzoeana nae
  3. radicals

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Kwani walichukuana juu kwa juu, si kila mmoja alijua changamoto za kazi ya mwenzie? Kwa nini wadaiane TALAKA ndani ya miez mitano Tu huku mwanzo walijuana?
  4. radicals

    JamiiForums Tanzania Nimepungua kilo kutoka 98 mpaka 75. Namshukuru Mungu

    Hapo hujawasaidia watu ili uwasaidie watu waambie 1. Umetumia mbinu gani Hadi umepunguza hizo kilo 23? 2. Muda gani umetumia? 3. Ushauri wako kwa wenye UZITO mkubwa na wanataka kupunguza
  5. radicals

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    MH, hapa kuna chembechembe za jealous dhidi ya huyo dada
  6. radicals

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kijana na una sifa zifuatazo njoo hapa tujipongeze!

    Mimi ni mwanaume
  7. radicals

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Tuache utani, hiyo pc ilikuwa kali
  8. radicals

    JamiiForums Tanzania Maisha ni fumbo kubwa, unawezaje kuishi mitihani?

    Itakuwa huyo mama ni msagaji alitaka kummiliki shemeji yako
  9. radicals

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbao za Mkongo au Mninga

  10. radicals

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Vipi washaanza pre match shows
  11. radicals

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Sawa usisahau hii me 13/10 ke 7/7
  12. radicals

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me 13/10 JINA A Ke 7/7 JINA N
  13. radicals

    JamiiForums Tanzania Tujuane wanaoenda DODOMA interview za tarehe 12 na 14

    Kila la kheri vijana
  14. radicals

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

    Hii biashara haiji kufa abadani, hata YESU MNAZARETH aliikuta
  15. radicals

    JamiiForums Tanzania Haji Manara nakuonya mapema usifanye hiyo Press Conference yako ya Kuwachafua Waandamizi wa Simba SC wiki ijayo

    Manara nje ya Simba na mwepesi sana
Back
Top Bottom