Tujuane wanaoenda DODOMA interview za tarehe 12 na 14

Tujuane wanaoenda DODOMA interview za tarehe 12 na 14

Kama kati yenu kuna mtu kaitwa humu na ana changamoto ya nauli au mahali pakulala, anicheki pm. Nitasaidia wawili au watatu kama sehemu ya cooporate social responsibility. Iwe serious cases tu.
 
Back
Top Bottom