Mkuu Rejeo naona huyo Rais wa mkoa amechanganyikiwa kwa sababu anaongea vitu bila kufanya utafiviti,SGD kuna sehemu mahindi yankubali kwelikweli ,ntakutajia baadhi tu ni kama ,Ilongero, Mtinko, Mpambaa, na Iambi ukija wilaya ya manyoni sehemu kama Heka,Nkonko,Mpapa na maeneo mengine. Ndio...