CHADEMA yatikisa Manyoni na kuvuna wanachama

Wanaochangia kwa jazba wakumbuke kuwa suala la amri haramu ya Mkuu wa Mkoa wa Singida linapingwa hata na CCM japo wanasema kwa siri ili kulinda heshima ya Chama chao. Mwenyekiti wa CCM wa mkoa ameandika barua tarehe 1/12/2011, na inaonekana imepokelewa ya Mkuu wa Mkoa tarehe 2/12/2011. Barua hiyo yenye Kumb Na. CMS/M.20/VOL.2/99. Mwenyekiti wa CCM aliandika akipinga uamuzi wa Mkuu wa mkoa kushinikiza watu wasilime mahindi. Ikumbukwe kuwa kati ya mikoa inayotoa mahindi kwa wingi na Singida ni mojawapo. Kama CCM wamemwandikia barua ni kwa sababu wanataka kufanya kwa siri. Mimi siogopi kusema hadharani. Tunapaswa kusema ukweli daima ili Taifa letu linufaike liendelee kudumu. Wanaochangia mada hii wasitangulize mno jazba za siasa, waangalie uhalisia. Wananchi wa Singida walilima mahindi miaka yote, na kuna sehemu zingine hata mazao mengine yanayopewa kipaumbele hayastawi, tutawapatia wananchi wa Singida matatizo kwa kutii amri hii haramu. Kwa mfano ushauri wa kuwaambia wanachi wa Manyoni wasilime tumbaku ila wajikite katika ufugaji wa nyuki, jamani nyuki wenyewe kuingia katika mizinga ni majaliwa. Utaishi kwa kutegemea asali inawezekana? Watanzania tumetanguliza mno jazba badala ya maamuzi ya busara. Tunatanguliza siasa hata katika vitu vinavyogusa maisha ya watu kila siku. Sitaacha kusema ukweli. Najua ukweli ni mmoja, haugawanyiki, na huwa haubadiliki. Bahati mbaya unaposemwa huwa unawaudhi wasiopenda ukweli.
 
Huyo kiongozi wa CDM naona kama hanazo. Anapingana na serikali? Anapigana na rais wa mkoa?

RULE OF LAW: "States should be led by law, only law, and not men". Do anything provided you are within the scope of that statement.
 
chama cha demokrasia na maendeleo chadema, jana kimevuna wanachama wengi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini itigi, jimbo la manyoni magharibi. Leo chama hicho kinatarajia kufanya mkutano mkubwa manyoni mjini.

Mikutano hiyo inahutubiwa na mwenyekiti wa baraza la vijan a wa mkoa huo ndugu josephat isango, huku akiwaasa wananchi wa mkoa huo kumpuuza mkuu wa mkoa huo kwa agizo lake alilosema wananchi wa mkoa huo wasilime mahindi.

"limeni mahindi wananchi, ninyi mnajua hali ya hewa ya mkoa wenu tangu zamani, mnajua udogo unavyostawisha mahindi, kauli ya mkuu wa mkoa haina tija katika maisha yetu ipuuzeni...amekuwa akiwaasa wananchi hivyo. Hata hivyo kinachoonekana kama mashindano, mikutano ya mkuu wa mkoa huyo haipati watu isipokuwa watoto, ila kamanda anafunika ile mbaya.. Viva chadema!

hongera madoro kutujuza! Huyu mkuu wa mkoa ni gamba! Viva chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Big up 2015 peoples power!
 
CDM msipuuze amri halali ya dola, serikali kwa kutumia wataalamu wake wameona ardhi haifai kwa mahindi, nyie mnatumia siasa pahala pasipostahili

Wataalam wa kilimo hawakai Manyoni. Labda waganga wa kienyeji!
 
Huyo kiongozi wa CDM naona kama hanazo. Anapingana na serikali? Anapigana na rais wa mkoa?
Mkuu Rejeo naona huyo Rais wa mkoa amechanganyikiwa kwa sababu anaongea vitu bila kufanya utafiviti,SGD kuna sehemu mahindi yankubali kwelikweli ,ntakutajia baadhi tu ni kama ,Ilongero, Mtinko, Mpambaa, na Iambi ukija wilaya ya manyoni sehemu kama Heka,Nkonko,Mpapa na maeneo mengine. Ndio maana mpaka serekali iliamu kujenga Maghala ya kuhifadhia Mahindi ya ziada sehemu hizo zote nilizokutajia.
 
Back
Top Bottom