Recent content by Rabi's-son

  1. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo kuhusu Recategorization kwenye suala la ajira

    Umeniwazisha tofaut leo.. Uliwezaje soma deploma afya after degree.. Naomba niinspae namimi aloo.. Io strength.. Pia ulisoma kwa hatua zpi.. Sorry lkn niko nje ya mada kdg
  2. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

    Kwanza how damn shit ni mpenz wako afu eti mara ya mwisho ni desemba!!?
  3. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

    Mimi naona km mtoa mada alichokosea ni kusema kinachomkutaga. walau angesema anaface ukatili but asiseme ni ukatili gani.
  4. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

    Namm soon ntakua mkaaz wa dar☺️☺️
  5. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania Nahitaji screen HP250 G4 used

    naitaji screen hp250 g4 used kuna mtu mwenywe nayo au hata mpya lakni price iwe kdg ya kushikika.. hit me up 0716978190
  6. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania I have been hacked

    kwa wale watalaam wa ku-hack website na database naitaji msaada wenu, nahisi kuna mtu ananidokolea data zangu kupitia utaalam wa kimtandao, kwa yeyote ambae atakua tayari kunipa msaada na kunionesha ni jinsi gani imewezekana kufanyiwa ivi au kama kuna mtu anajua kuna mtaalam flani anaweza...
  7. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania Logo Design Hacking

    asee ntaka njue hii adobe photoshop umeipata free au umetumia trial zle.
  8. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania From moja ya fakati fatal in the world nmedisco naombeni uxhaur

    sasa kaka kwanini tu may be usi-think big ukaona kwamba may be huyu jamaa wakati anaandika alikua hayupo sawa just kwa sababu ya situation ilonikumba, i think ungeaniambia tu smthing ambacho kingeleta utofauti pia unikaripie kwa nlivyoandika then uniache, ulivyoniita "mpuuzi" its true kwamba...
  9. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania From moja ya fakati fatal in the world nmedisco naombeni uxhaur

    heloo.. nnaeza pata contacts zako tafadhali. naomba.
  10. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania From moja ya fakati fatal in the world nmedisco naombeni uxhaur

    daa hata wee mtt mzuli ivyo unaniponda duu..
  11. Rabi's-son

    JamiiForums Tanzania From moja ya fakati fatal in the world nmedisco naombeni uxhaur

    me cjapost nibato nawewe mjomba okee? ucjikute uko pafekt xaana mjomba..
Back
Top Bottom