Mkuu kadoda, nipo far na PC but nashindwa kuelewa shape ya umbo hilo jekundu na jeupe imekaa vipi.
Naona umbo jekundu lina Drop shadow chini na pale juu pia pana shadow.
Ki uhalisia logo yako ni kwamba kuna mwanga unapiga, hivyo basi, nilitegemea shadow iliyoko kwenye shape nyekundu, basi iwe sawa na ile shadow uliyowekwa kwenye neno lako KADODA, maana kwenye Kadoda pana drop shadow iliyobend upande wa chini tu.
Hivyo basi nimeshindwa kuelewa central light ilipiga vipi, kama maneno kivyake na ile shape nyekundu kivyake au vipi.
Pia drop shadow ya ile shape ya juu kabisa, nafikiria ingefaa pia ikiwa squeezed internally icheki freshi ya Castle ile pia naweza eleweka.
N:B Kazi nzuri na hongera pia.