Jimbo la Singida Mashariki chini ya Tundu Lissu limeshuhudia kukua kwa haraka kwa huduma nyingi za msingi kuliko wakati mwingine wowote. Ndani ya muda mfupi,tayari wananchi wanajivunia kuwa naye. Ni mojawapo kati ya majimbo ambayo CCM wanayaogopa zaidi.,ni vigumu kwao hata kufanya mkutano wa...
Well.,cjui unayoyaongea yanahusianaje na uzi ulioletwa. Tundu Augustino Mughwai Lissu ni mbunge wa Singida Mashariki.,Iseke ni kata iliyopo Singida Magharibi, jimbo lnaloongozwa na Missanga(CCM).. Kama unataka tuje na hoja za kuonesha maendeleo ambayo Lissu analeta Jimboni kwake,hebu anzisha uzi...
Ajabu kubwa ni kuwa, Nape anaendelea kuharibu ladha ya siasa hapa nchini kwa kutumia uhuru na Uongozi wake vibaya kwani hoja alizokuja nazo ni dhaifu kuliko hata chama chake na viongozi wale. Mimi si msemaji wa Dr. Slaa, wala si mtetezi wake. Lakini kwa kuwa aliyoyazungumza Nape nayaelewa...
Hivi usipoitaja CHADEMA "jogoo haliwiki"??? Mbona huko juu hapana yeyote aliyejitambulisha kwa chama chake zaidi yako wewe unayejipambanua kuwa mwanachama wa "CHAMA CHENU MAGUMASHI"??? Du! Chadema inakufanya vibaya.,yan usipoitaja hujickii raha kabisa.,kama wewe ni mwanasiasa makini unapaswa...
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif amesema kuwa vurugu zilizotokea kwenye uchaguzi mdogo wa Bububu zilisababishwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMZ, hivyo kumtaka Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuchukua hatua. Source; Mwananchi.
Siamini kama madaktari hawa waligoma kwa influence ya MAT tu.,wao hawakuona upungufu ktk field yao?sababu za migomo hazikuwekwa wazi?Hazikuwa za msingi??Na kama zilikua za msingi,zimefanyiwa kazi kwa kiasi gani?La ikiwa hazkuwa za msingi,wao waligoma kwa misingi gani?
Sijaona pahala ktk tamko hilo la madaktari walipokitaja au kukigusia CHADEMA..Iweje wewe uanze kukitaja chama hata pasipohusika?Wasiwasi wangu ni kuwa,ipo siku mkeo atashindwa kupata ujauzito na utakit upia lawama CHADEMA..
Chama Cha Mapinduzi kinaendesha serikali yake kwa mifumo mibovu katika sekta mbalimbali na ni wazi sasa kuwa uwajibikaji sio jambo la muhimu kwao..Watendao makosa wanalindwa kwa maslahi ya nani?
Zifuatazo ni baadhi tu ya kauli zilizotolewa na viongozi wa CCM kwa nyakati tofauti.Tuzipime na kuona jinsi viongozi wetu walivyo na upeo mdogo wa kufikiri..
1.Ndege ya rais
itanunuliwa hata kwa gharama ya wananchi kula nyasi - B.P.Mramba
2.Foleni Dar ni ishara ya maisha bora-JK
3.Acheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.