MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Masalia yaondoke hureeeeee tubaki makamanda tukomboe nchi
Wanabodi;
Magamba yameanza kuweweseka na kuchanganyikiwa
Chadema haina Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, kama CCM ilivyoigizwa kichakani na Abdallah Ngajulage, Chadema ina Uongozi wa Wilaya ya Kibaha na Uongozi wa Majimbo ya Kibaha Mjini na Kibaha Vijijini. Kama kweli Ngajulage angekuwa kiongozi wa ngazi ya Wilaya au Jimbo angejieleza kwa kuzingatia muundo wa Chama. Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kibaha ni Ndg Bumija Moses Senkondo, Mwenyekiti wa Jimbo la Kibaha Mjini na Ndg Ally Mohamedi Gandi na Mwenyekiti wa Jimbo la Kibaha Vijijini na Ndg Fatuma Halfan. Ukweli kuhusu Mzee Abdallah Ngajulage ni kuwa mwanzoni mwa mwezi mei 2012 Chadema kilifanya mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mpiji na kuvuna Wanachama 56 wote wakitokea CCM, miongoni mwa Wanachama hao ni Abdallah Ngajulage ambaye alikuwa ni mjumbe wa Serikali ya Kijiji cha Mpiji kwa tiketi ya CCM na baada ya kujinga na Chadema aliteuliwa kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Tawi la Chadema katika Kijiji cha Mpiji. Baada ya mwezi mmoja tu tokea awe Mwanachama wa Chadema alianza sarakasi za kigamba na ilipofikia tarehe 28/07/2012 alivuliwa rasmi uanachama wa Chadema. mwisho nawapa pole sana Magamba kwa kuingizwa kichakani na Mwenzao. mwenye hoja au maswali tunakaribisha na atapata majibu sahihi.
"HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE"
mkuu molemo, hivi ingekua balozi wa nyumba kumi wa ccm kajiunga na upinzani hizo sherehe si zingehudhuriwa na kiongozi wa kitaifa?????
walianzisha watu wawili tofauti, kwa kuwa tuna mods makini sana wameziunganisha
Wanabodi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, Abdallah Ngajulage ametanganza kukihama chama na kujiunga na CCM.
Ngajulage amejitoa Chadema kwa sababu ya kutawaliwa na ubinafsi na ukabila.
Amechoshwa vitendo vya Chadema nyadhifa kuu za kitaifa kushikwa na watu wale wale kila chaguzi na uchoyo wa maslahi unaowabana viongozi wa chini.
SOURCE: MWANANCHI JANUARI 22, 2013.
jinsi ninavyo mfahamu huyu bwana, kuhama kwake ni pigo kubwa kwa chdm. alikua mhimili mkubwa wa chdm maeneo ya kibaha
Hakuna mwenyekiti wa chadema Kibaha...Wanabodi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, Abdallah Ngajulage ametanganza kukihama chama na kujiunga na CCM.
Ngajulage amejitoa Chadema kwa sababu ya kutawaliwa na ubinafsi na ukabila.
Amechoshwa vitendo vya Chadema nyadhifa kuu za kitaifa kushikwa na watu wale wale kila chaguzi na uchoyo wa maslahi unaowabana viongozi wa chini.
SOURCE: MWANANCHI JANUARI 22, 2013.
Issue hii ni ya Mwaka Jana.
Mzee huyu tangia mwaka jana alisimamishwa chama kwa tuhuma za Ubathilifu. Tena alikua wa mda tu.
Cha kushangaza huyu mwandishi wa gazeti la mwananchi sijui kapewa kiasi gani cha pesa ili aropoke ujinga kama huu. Kwanini asiseme kwa nini alisimamishwa na lini, maana inaonekana hana hata details za hii issue hana.
Amekuja na mapambio yaleyale ya CCM. Kwani Kibaha vijijini Kuna Udini, Ukanda, na upuuzi mwingine anaoueleza?
Naona sasa Gazeti la Mwananchi nalo limeanza kunuliwa kama yalivyo magazeti mengine.
Kweli njaa ni kitu kibaya sana, huyu mwandishi anaweza hata muuza mwenza wake ili apate 10,000/=
T2015CCM Mbona ameenda CCM maana nachojua mimi CCM ni Chama cha Familia za watu Sita au hajasoma majina ya UVCCM na Kamati Kuu..Na katika yote hayo sijasikia jina la Chagulage mimi napafahamu Kibaha sijawahi kumsikia ila sasa hivi nimemsoma hapa JF au Techniques za magamba wanajigawawia kadi alafu wanatangaza kwamba wametokea CHADEMA..Hakuna Jina kama hilo Hapa Kibaha labda kama ni Kibada
Wanabodi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, Abdallah Ngajulage ametanganza kukihama chama na kujiunga na CCM.
Ngajulage amejitoa Chadema kwa sababu ya kutawaliwa na ubinafsi na ukabila.
Amechoshwa vitendo vya Chadema nyadhifa kuu za kitaifa kushikwa na watu wale wale kila chaguzi na uchoyo wa maslahi unaowabana viongozi wa chini.
SOURCE: MWANANCHI JANUARI 22, 2013.
Wanabodi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, Abdallah Ngajulage ametanganza kukihama chama na kujiunga na CCM.
Ngajulage amejitoa Chadema kwa sababu ya kutawaliwa na ubinafsi na ukabila.
Amechoshwa vitendo vya Chadema nyadhifa kuu za kitaifa kushikwa na watu wale wale kila chaguzi na uchoyo wa maslahi unaowabana viongozi wa chini.
SOURCE: MWANANCHI JANUARI 22, 2013.
Samahani naomba kujua alifukuzwa lini na mwenyekiti wa sasa ni nani?