Recent content by R MATHEW

  1. R MATHEW

    JamiiForums Tanzania Timu wadanganyika dak 20 tumefungwa 5 bila, kocha kaingia ndani kuokoa jahazi.

    ahaaaa hiii balaaa....bonge la game
  2. R MATHEW

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    pole san mkuu....mungu yupo na wewe.
  3. R MATHEW

    JamiiForums Tanzania Tupia jina la wimbo bora kwako!

    SITAKI DEMU.....BY JUMA NATURE hatari sna hyo ngoma
  4. R MATHEW

    JamiiForums Tanzania Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

    dahhh yaan na mm naona cyo sawa kwa mwanaume....labda wale wa academy .......niko n wwe mkuu inakwaj mpka mwanaume unakua hvy!!!
  5. R MATHEW

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la UDA laigonga treni eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

    jamn niliishuhudia hii ajali jana usiku kwa macho yangu.....ni uzembe wa dereva moj kwa moja.... tayari lishasmamishwa lkn dereva litaka kuovertake train....r.i.p wote waliopotza maish, na polen sna kwa waliojeruhiwa.
  6. R MATHEW

    JamiiForums Tanzania Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    duhh sidhani km bdo kuna watu wa aina hii.....lugha yetu kwanza....english peleka kuleeeee ,....thnx mr president!
  7. R MATHEW

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Dah hii nzuri imenisaidia... najiona mpya baada ya kusoma hii.
  8. R MATHEW

    JamiiForums Tanzania Umesevu vipi jina la mpenzi wako kwenye simu?

    Nmemsave luv
Back
Top Bottom