tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,120
Mpaka sasa dak ni ya 20 tushafungwa tano bila,
Kocha kachanganyikiwa, kafanya sabu ya gorikipa na kuingia mwenyewe uwanjani. Cha ajabu hayupo mtu gorini sijui mpaka dak 90 tutafungwa ngapi!! Maana hata shuti la mbali utasikia imooo!!
Angalia tim pinzani ilivyo jipanga.
1 : mikopo ya wanafunzi.
2. Madarasa
3. Madawa mahospitarini
4 :Ajira mpya
5: uchaguz zanzbar
6: mitandao ya kijamii
7: kauli za wapinzani
8. Mzee wa busara (ywele nyeupe)
9: pesa ngumu
10. Tetemeko kagera
11. Baa la njaa
Kocha wao dereva wa anga
Upande wa timu wadanganyika.
1: waziri faru john
2: makam wa mwepes
3: waziri wa mwanga
4: waziri wa vi- wonders
5 : taratibu taratibu
6: uhuru tbcccm
7: waziri wa mabunduki
8: kondacta wengi
9: waziri wa makamera
10. Wazee wa mabunduki
11: lumumba buku 7
Kocha wao anaitwa mwafaaaaa.
Sasa angali mpira unavyochezwa.
Mpira ni mkali hatar tangu dak ya kwanza. Tim wadanganyika imeonyesha makeke dak 5 za mwanzo. Mara ikapiga shoti bandar wakazuia hamna kitu. (Shuti= shitukiza). Mara ikapiga shoti hospital, hali ileile. Baada ya mashuti mawili magori yakaanza kumiminika upande wa wadanganyika.
Likaja shuti l sukari tukasikia imoooo!!
Likaja shuti la ukuta tukasikia imooooo!!
Likapigwa shuti la madawa hospitalin imoooo!!
Likapigwa shuti la maafa kagera toka mbaali imoooo!!
Sasa limepigwa shuti la njaa, hili ndio balaaa gorikipa hajui afanye nini , kocha kamtoa gorikipa kaingia mwenyewe. Katoa na foward. Anadaka na kushambulia je tutapona?? mwafaaa kamtoa wazir faru john . Na kamtoa namba 9 yule waziri wa makamera, sasa anacheza mwenyewe mbele na kudaka je tutapona??
Wazir faru john ndio captain wa kupanga timu na kuisemea tim. Huyu faru john ndio ilikua atwambie kuna mchezaji mpya kasajiliwa anaitwa njaa au hakuna. Kocha kawa captain mwenyewe. Anasema hamna mchezaji kama huyo, wakati wote tunamwona. Kawa Wazir wa makamera mwenyewe, kawa msemaji na mfungiaji makamera. Kaingilia mwenyewe na kusema makamera yananisema vibaya nitayafungia.
Kuna watu watasema Kwanini kuna wenzetu wanaonekana wako timu pinzani? Hivyo hao sio wazalendo. Jibu ni hapana hawa ni wazalendo . Huyu kocha mwafwaaa, Kila anaye kosoa ufundishaji wake yeye humtoa na kumhesabu mpizani. Hivyo hawa wamekua timu pinzani kwa kupelekwa na yeye. Ndio maana nimewaweka timu pinzani. Maana kila tukifungwa utamsikia kocha mwafwaaa anasema waliosababisha wapinzani. Wengi tunashangilia timu pinzani kwa vile kocha wetu anatubeza mashabiki zake. Anatwambia kama kufwa na tufwe kwa presha tunavyofungwa, ila yeye hajali. Ww utamshangilia?
Angalia alichowafanya wachezaji wake hawa. Godbless kapewa adhabu nyekundu jeraaaa!! Lijualikalisana nyekundu jeraa, tundu tundu ana njano karibu tano!!
Ndugu watizamaji hali si shwari kwa timu ya kocha mwafwaaa. Sasa ni dakika ya 20 tushafungwa tano je dak 90 tutafungwa ngapi??? Sijapenda kufungwa ila ndio tumezidiwa nifanyeje sasa.