Recent content by QUETY

  1. Q

    Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Ninahisi kuwa rais hakusema sekta binafsi,alizungumzia selikarini
  2. Q

    Hatimaye microchip yaanza kuwekwa katika miili

    Ee yesu ututetee wanao,mana yalioandikwa na manabii yametimia
  3. Q

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Kwahiyo na walimu wako waliokufundisha walifeli?acha dharau usidharau kazi ya MTU,wanao watafundishwa na haohao walimu.acha mambo yako ya kipuuzi,mshukuru Mungu kwa kuwa familia yako ya kitajiri mpendwa.waombe radhi walimu wote,mungu hapendi dharau,bz kila MTU alipewa kipaji chake be carefully
  4. Q

    Nina 'supp', naweza kuajiriwa?

    Utapangiwa but nafasi yako itabaki km ilivyo kule utakako pangiwa mpk upeleke cheti au transcript
  5. Q

    Kiwanja kinauzwa mbweni mpiji

    Kipo wapi?
  6. Q

    Walimu kudai motisha wakati wanafunzi 85 wamepata daraja sifuri ni sawa

    Km mwanafunzi hajiwezi utamfantaje?tusiwadharau walimu km ndo wanafelisha wanafunzi,tukumbuke nasi tumetoka hukohuko na walimu hao ndo wametufundisha mpk umepata kazi nzuri nje ya ualimu,tusiseme tu ili kufurahisha watu,tuwathamini walimu wetuuu
  7. Q

    Kiwanja/plots Dar es Salaam - Chamazi

    Unaanzia ngapi mkuu
  8. Q

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kuna mwl yupo tabora ulambo anatafuta mwl wa kubadilishana Naye yeye aje mbeya wilaya yoyote ,idara ya sec
  9. Q

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Cutewiwi upo iringa sehem gani ,kuna MTU anataka kurudi kwao iringa
  10. Q

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Cutewiwi upo iringa wilaya gani?
  11. Q

    Bodi ya Mikopo Tanzania ni jibu linalotakiwa kutumbuliwa

    Mungu asaidie na watakao jiunga mwaka huu na chuo wapate
  12. Q

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nashukuru sana,nimtumie namba uwasiliane naye
Back
Top Bottom