VIWANJA NYENYE SIZE TOFAUTI TOFAUTI SASA ZINAPATIKANA CHAMAZI - MBANDE BEI NI MAELEWANO NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO.KUTEMBELEA NI BURE NA WAKATI WOWOTE....ENEO LIMEPIMWA IKO ENEO PLAT KABISA
Hivi viwanja visivyo na bei,ndio wengine tukiona rusha rusha nyingi mtu hasemi bei mtu unazuka direct kwa mjumbe au mwenyekiti wa serikali za mtaa kumuuliza bei.
Mwisho wa siku mtu unakuwa umarukwa kimtindo kwa uzembe wako mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.