Daaah! Namimi mwendoo huohuo,leo siku ya tatu
Hahahah hatari sana mkuu,ila ngoja nikuambie kitu,kipindi kama hiki kikitokea nacho kina maana yake,ni mda wa yeye kukutafakari,acha akuwaze,apate mda wa kuyafikiria ulokuwa ukimuambia,acha akumiss,ukikomalia muwasiliane ndo utaharibu...