Recent content by queen of the jungle

  1. Q

    Kilimo cha miwa Kilombero na rushwa ni jipu kwa wakulima

    Habari wapendwa kumekuwa na sintofahamu ya uvunaji miwa Kilombero, bila rushwa hutoi miwa yako na hii ni kutokana na uongozi kutokuwa na usimamizi wa kutosha hasa inapofika kipindi cha uvunaji na nimegundua wanafanya hivyo makusudi ili kuweka mianya ya rushwa kwa wakulima. Mfano kama viongozi...
  2. Q

    Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

    Mbona unamtisha mwenzako ndoa ni Furaha kama hapati Furaha usilazimishe kisa kaoa angalie alternative
  3. Q

    NSSF Ni kero kwa wanufaika

    Jamani habarini kumekuwa na shida kwa baadhi ya maofisa wa NSSF kuingia ubia na waajili ya kutopeleka michango kwa wakati matokeo yake wanaoumia ni wanufaika huku mchangiaji akikosa haki zake za msingi Kitendo hiki ni cha kinyama mfano mtu unatakiwa kupewa fao lako la uzazi lkn haki hii huwezi...
  4. Q

    Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

    Kwa lazima kila mtu aishi uchagani we ndugu zako wamejenga Dar ni kwao hii nchi ni yetu wote bhana
  5. Q

    Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

    Achaga ubinafsi ndo maana wilaya haiendelei sababu ya kuwa na watu wenye mawazo finyu kama yako wageni wakija kwa wingi ndipo huwa tunapata maendeleo Na mfumo wa maisha hubadirika jamani wageni karibu Tukuyu kupo kama Europe
  6. Q

    Kujifungua kwa Operation imekuwa too much nowdays, why?

    Una roho ngumu saana dear loo ulijiaminisha vpi mtoto anaendeleaje sasa
  7. Q

    Kujifungua kwa Operation imekuwa too much nowdays, why?

    Wengine ni matatizo assumes mwingine Mtoto hajageuka unataka huyo mama afanyaje alazimishe afe au apoteze Mtoto
  8. Q

    Nyongo ya mamba ni sumu kali inayouwa kwa haraka zaidi

    Hivi kuna watu wanakula chatu na mamba na wako dunia hii hii jamani
  9. Q

    Mbakaji ahukumiwa kifungo cha nje mwaka mmoja

    Love you too but nakuombea mashindano ya vyuo hayahusiani na Iqu ya mtu
  10. Q

    Vyuo 10 Bora Tanzania 2019

    Huyo wa udsm anamiliki nini sasa kama sio passo na nyumba ya vyumba vitatu wakati kuna muuza mbao la saba hakijui chuo chochote lkn account inasoma biliion
  11. Q

    Mbakaji ahukumiwa kifungo cha nje mwaka mmoja

    Ulisoma uzeeni ndo maana unaandika kama darasa la tatu miaka ya Sasa chuo sio ishu bali ni competence uliyonayo kwenye kazi zako nakutakia siku njema
  12. Q

    Vodacom tutendeeni haki wateja wenu. Mnapandishaje Cost 25% kimya kimya bila kutujulisha? Huu sio wizi wa mchana Kweupe? TCRA mnalijua hili?

    Hata mimi kwenye supa Uni wameudhi wameongeza bei na kupunguza mb mimi nataka nihamie nyumbani mara moja
Back
Top Bottom