Recent content by Qj9090

  1. Q

    Waziri Silaa na RC Chalamaila, wananchi tunataka kujua uchukuaji wa ardhi, makazi ya watu Vingunguti ni kwa manufaa ya nani?

    Hakuna muuzaji aliyeshangilia baada ya lukuvi kuingilia masuala ya uuzwaji. Wananchi walitaka waziri aje ili aharakishe zoezi la ununuaji wa hayo makazi kwakuwa pmm alidai kuwa amekwama kupata kibali, na mpaka Leo wananchi wanalitaka sana hilo zoezi na wale ambao waliuza nyumba zao mwanzoni...
  2. Q

    Waziri Silaa na RC Chalamaila, wananchi tunataka kujua uchukuaji wa ardhi, makazi ya watu Vingunguti ni kwa manufaa ya nani?

    Wat wanataka walipwe wakaanze maisha mengine kila mtu analitaka hilo zoezi kule vingunguti mm nashangaa mtoa mada anavyoandika as if Kuna mtu kalazimishwa kuuza eneo lake au ameporwa kinguvu
  3. Q

    Waziri Silaa na RC Chalamaila, wananchi tunataka kujua uchukuaji wa ardhi, makazi ya watu Vingunguti ni kwa manufaa ya nani?

    Kwanza hakuna mwenye nyumba ambaye anapinga hili zoezi na vile vile wote ambao walilipwa mwanzoni kabla ya zoezi kusimama wote hakuna aliesema amedhulumiwa pesa zake. Halafu hata kama eneo unasema ni prime linawafaidisha nini hao wakazi
  4. Q

    Airport attendant

    ahaa, niliona hilo tangazo
  5. Q

    Naomba msaada kuhusu mambo haya katika Ajira Portal

    We nae ni kilaza sana aisee, umesoma chuo gani? Duuh
  6. Q

    Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Mzee bila shaka umesoma Mzumbe hiyo kozi, Mzumbe inabid wafanye namna kuongea na sekretariati ya ajira ikishindikana hiyo kozi ifutwe manake kma ni public administration in LGA na huwezi kuomba kazi yoyote iwe hata ya afisa tawala haimake sense. Wamechukua ada za watoto bure na system ya...
  7. Q

    Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka?

    Acha uongo basi kama hujui kitu tulia
  8. Q

    Public Administrator natafuta kazi

    Uliomba zile za TPA.. Walikua wanahitaji BPA pia
  9. Q

    Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

    Okay, ila cc mtendaji wetu hajabaki na chochote na amesema hawezi kutupambania kwasbabu wenye power ni huko kwa mkurugenzi kwahyo tusije kumlaumu
  10. Q

    Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

    😂😂Wewe ndo unajua basi, labda kwa mtendaji wenu ndo mnafanya huo uzwazwa
  11. Q

    Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

    Unachekesha sana dogo, aliyekwambia mwenyekiti na mtendaji anabaki na kopi ni nani?? Usiongee vitu usivyojua. Usikute unaongea tu hapa wakati hata kuomba hujaomba
  12. Q

    Chuo cha Sokoine/Mzumbe mnaacha division 1&2 mnapokea division gani? Ama kuna kifurushi kinatakiwa?

    We ulickia wapi degree wakachukua four, ukiona hvyo one yako ya kawaida na kozi uliyoomba kuna watu wamegonga zaidi yako. Tulia omba tena third round
Back
Top Bottom