Recent content by Qixima mQiqa

  1. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya wanawake waajiriwa kupewa mapumziko wakiwa kwenye siku zao?

    hili ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watu, kuna siku binamu yangu alikuwa anaumwa nilipo rudi home niliita sana sikupata jibu nilipoenda rum kwake nikamkuta ameanguka toka kitandan na amepoteza fahamu nkampatia huduma ya kwanza nkampeleka hospital akachomwa sindano ya kupunguza maumivu,nilipo...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

    thierry mugler ndio mpango mzima
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

    amakweli njia kuu yako ndio mchepuko wa mwenzako.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Major General Mstaafu Bakari Shabani amefariki

    unataka tuanze kukumbuka kashfa za kila mtu anae kufa?basi tuanze kwa Adam na Hawa hapo tutaenda sawa
  5. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Major General Mstaafu Bakari Shabani amefariki

    Major General Mstaafu Bakari Shabani ameaga dunia, mwili wa marehemu upo hospital ya Lugalo. Msiba upo nyumban kwake Osterbei, heshima ya mwisho kwa marehemu itatolewa siku ya jpili tarehe9/03 itakayoongozwa na Mh.Rais Dr. Jakaya Mrisho kikwete. Pole kwa wafiwa wote
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Eneo la tukio
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Picha ya ajali
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Hii ndio ajali yenyewe
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Audi A4

    audi ni gari poa sana, hiyo hapo ni Audia Q7 ya jamaa yangu mmoja hivi ipo poa sana
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Pacha na mimi ni 24 April
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Ha ha ha hili ni bonge la kitendawili. Ila ukweli utajulikanatu
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    ha ha ha Mbona hawa watu wanatukanganya? Zito amesemd anamiliki gar mbili tu Carina na Freelander na Mkono amesema amemuuzia Land cruiser na amemkodisha Nissan patrol. hapa akili mkichwa
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    poor profesa
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    huu ni unyama ambao hauwezi kuvumilika profesa mzima ameamua kumwingilia kimwili mtoto ambaye ni sawa na mjukuu wake na kumuambukiza virusi vya ukimwi, watu kama hawa wanastahili kunyongwa kwa kweli
Back
Top Bottom