Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

Mroojr

Member
Nov 15, 2010
65
8
Kulingana na habari za awali tulizo nazo bus hilo la Bunda limefumaniwa kwenye kivuko cha treni na kugongwa.Mpaka sasa ni watu 4 wamethibitika kufa na tunaendelea kufuatilia habari zaidi juu ya tukio hilo ikiwemo sababu ya msingi ya kusababisha ajali hiyo.Tutaendelea kuwajuza zaidi chochote kitakachojiri ikiwemo kuwawekea picha tutakazojaaliwa kuzipata nzuri.

============
Habari nilizozipata hivi punde zinasema kuwa Kuna ajali imetokea ikilihusisha Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari cha kuaminika ambacho kipo Eneo la tukio Bado hawajajua idadi ya majeruhi na waliokufa lakini inaonekana ajali ni mbaya na ameshuhudia tayari maiti moja.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni

Picha nitaweka hivi punde na Update zaidi.
attachment.php

Attachments

  • 1927176_10203155108939266_2129235680_n.jpg
    1927176_10203155108939266_2129235680_n.jpg
    62.5 KB · Views: 19,666
  • 1927210_10203155098659009_707579712_n.jpg
    1927210_10203155098659009_707579712_n.jpg
    104.1 KB · Views: 19,971
  • 1974499_10203155108299250_288809627_n.jpg
    1974499_10203155108299250_288809627_n.jpg
    56.3 KB · Views: 18,808
Poleni wote lakini tunaomba mlipo hapo tusaidieni taarifa iliyokamilika sasa idadi ya waliokufa majeruhi,chanzo cha ajari

Maana hapo Isuna kuna km tambarare sasa dereva hakuchukua tahadhali ama mfumo wa breki ulikuwa na shida?
 
Idadi ya waliofariki ni wanne (4) hadi sasa.

majeruhi ndio wengi
 
Back
Top Bottom