Recent content by QEEN ADEMU1

  1. QEEN ADEMU1

    Wanawake wazuri wazuri wametulia na waume zao.Yamebaki manungayembe yanahangika tu

    Ukumbuke kutembea na mke wa mtu utakuwa umeingilia agano , utaona raha ila litakugharimu sana ...kaa utafakari muosha huoshwa Sent using i phone x
  2. QEEN ADEMU1

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Umekaribia kufirisika pole hakuna hela rahic fanya bishara mkuu achana na online busness Sent using i phone x
  3. QEEN ADEMU1

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Yupo mkuu mpk sasa hivi ila walishaachana na mama Sent using i phone x
  4. QEEN ADEMU1

    Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

    Hii ndiyo point tuongeee yote ila ndoa za kikristo zi ashida sana ......mi ni mkristo ila navutiwa na ndoa za kiisilamu hakuna kuzenguana muda wowote , Kama mtu anaweza kukatwa kiungo ili kuopesha usalama wa mwili kwa nini kungangania mpk kufa ? Kwani umezaliwa naye , ndoa nyingi zipo hoi...
  5. QEEN ADEMU1

    Changamoto za NIDA saa za lala salama

    Sio kweli mkuu huku kwetu karibu 90 %wamepata number waliobaki ni wenye matatixo na viambata tuache mazoea ndiyo yanaponza wengi Sent using i phone x
  6. QEEN ADEMU1

    Naweza kwenda College gani na matokeo haya?

    Kwa matokeo hayo huwezi kusoma chuo chochote fanya urist tu mtihani Sent using i phone x
  7. QEEN ADEMU1

    Mke malaya, nimfanyaje?

    Hivi unajielewa kweli wewe au upo upo tu , Sent using i phone x
  8. QEEN ADEMU1

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Tatizo lako nn cm c yangu ..... Sent using i phone x
  9. QEEN ADEMU1

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Kuna muujuzi ulijikosesha usingetoa hela ungemkabidhi shehe swadaka halafu ukamueleza hali yako nadhani ungesaidiwa pakubwa sana .... Katika maisha yako jifunze kuheshimu swadaka Sent using i phone x
  10. QEEN ADEMU1

    Ukipima HIV kipimo kikionyesha hivi, rudia kupima

    Ukiona kipimo cha kawaida kinafeli ,unapaswa kutumia gold union..., Huwa hakizengui Sent using i phone x
  11. QEEN ADEMU1

    ELIMU YETU: Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwenye mtihani wa Kidato cha 4 kwa kutoa Division Zero nyingi kitaifa

    Tatoxo vijana wengi wa dar usela mwingi , kucheza magemu na mademu kwa nn wasipate division O ni haki yao Sent using i phone x
  12. QEEN ADEMU1

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Ndio kujiachia huko Sent using i phone x
  13. QEEN ADEMU1

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Du pole sana kwa mikasa na misuko suko mungu alikuwa anakuandaa Sent using i phone x
  14. QEEN ADEMU1

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Usicheze na tumbo bwana Sent using i phone x
  15. QEEN ADEMU1

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Maisha bwana [emoji24][emoji24] unawexa kusema ww unahaghaika kumbe kuna wenzako wana ck mbili hawajaona kitu kinaitwa chakula ....,Mungu uguse watu wako ...wakati kuna wengine hawajui kitu kinaitwa shidah ..... Umenikumbusha mbali uwono ,nilikuwa nauoenda nikipata na mbilimbi mashalah ugali...
Back
Top Bottom