Naweza kwenda College gani na matokeo haya?

Usiwe na wasiwasi juinge na Open University of Tanzania kwa degree maana una D kama nne tayari ni score marks unaweza ku apply online au fika ofisi zao makao makuu biafra kinondoni au mikoani kuna vituo vya chuo.

Tembelea website ya chuo. www.out.ac.tz
 
Na huyu nimpeleke wapo? Civ "C", Hist "F", Geog "F", Kisw "C", Engl "C" Biol "D", B/Math "D" Commerce "F" and B/Keeping "D"
 
Kujiunga chuo inabidi uwe na ufaulu wa kuanzia D nne na hapo umepita, cha kusoma hapo nenda kasomee unachoona kitakufaa.

Utaanza certificate mwaka moja, utaingia diploma miaka miwili, utaenda bachelor miaka mitatu, n.k kama vipi kasomee accounting uwe muhasibu ajira zipo nyingi wala usiogope, kwa kuanzia anza na chuo chepesi kwa vile itakua Mara ya kwanza maisha ya chuo nenda chuo cha cbe mkoani mbeya ni chepesi kupata certificate yako ya kuendelea diploma.
 
Shida ya vyuo ambavyo siyo vya walimu ni ile pesa ya chakula; ada italipwa sawa shida pesa ya kula unampaje mtoto? Unampa yote TZS 2,500,000 au kila mwezi unamtumia kidogo na kama ni kila mwezi ikitokea mwezi huo huna unafanyaje?
 
Jaman nina ufaulu huu Civ D, Geog D, Engl D, Kisw C, Hist F, Math F, Bio F, Chem D.

Nisaidieni college ambayo inanifaa kwa kulingana na ufaulu wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa muongozo wa nacte ukiwa na D nne kuendelea unaweza anza na ngazi ya Certificate kwa taaluma yoyote kulingana na aina ya masomo uliyopata hizo D nne. Kwa upande wako hizi D na hiyo C umezipata kwenye masomo, ya arts hivyo unaweza soma kozi za sanaa mfano unaweza soma Basic certificate in local government administration and management(NTA level 4) chuo cha usimamizi wa serikali za mitaa hombolo Dodoma. Hii kozi ukihitimu unakuwa afisa mtendaji kwenye mitaa/vijiji au kata. Ajira zake zipo na ukifaulu unaweza endelea Technician certificate level 5 mwaka mmoja kisha diploma tena mwaka mmoja na baada ya hapo unaweza chukua degree vyuo kama mzumbe bachelor of arts in public administration and local government management. Pia secretarial studies chuo cha utumishi wa uma Tpsc magogoni Dar na matawi yake mikoani.
 
Shida ya vyuo ambavyo siyo vya walimu ni ile pesa ya chakula; ada italipwa sawa shida pesa ya kula unampaje mtoto? Unampa yote TZS 2,500,000 au kila mwezi unamtumia kidogo na kama ni kila mwezi ikitokea mwezi huo huna unafanyaje?
Vyuo vya walimu naona havina utofauti sana na sekondari kuanzia kuvaa uniform mpaka chakula, vyuo visivyo vya ualimu vipo tofauti kidogo, ukimpeleka huko mtoto anahitegemea kwa maisha na Mara nyingi huishi nje ya chuo kwenye hostel zilizojengwa na watu ama nyumba za kupanga,

Binafsi nakumbuka nikiwa chuo arusha nlikuwa natumiwa laki 2 na ilikua inabaki kwasababu kwa siku chakula na maji nilitumia elf 4 iliyobaki ni mambo mengine, nilikuwa nishalipia hostel laki 4 kwa mwaka

Cha muhimu ukilipa ada ya chuo, lipia na ada ya hostel ni kama laki 4 kwa mwaka moja wa chuo, baada ya hapo anza kutumia pesa ya matumizi laki na nusu na kuendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom