Kama unattainable kazi za South Sudan search in this website www.reliefweb.com there is plenty of position. You are needed to be smart and specific and as you get it, it is end of poverty.
Muleta Uzi hapa amejidalisha mwenyewe, kwa kuwa hata Ibara ya katiba aliyoweka hapa haina uhusiano na hoja aliyowakilisha. Naomba niweke Ibara aliyotaja Kama inaendana na hoja yake, sehemu hii sehemu ya kazi ya MKUTANO mkuu wa Taifa, Kama ilivyoainishwa ktk katiba ya CHADEMA,
7.7.10: kazi za...
Yes ni kweli Dr. Slaa alikimbia CCM kwasababu ya ushindani uliopo kati ya nani anafahamika baina ya wagombea wa CCM na nani mwenye hela ndefu siyo baina ya nani mwenye uwezo na kwa ajili ya wananchi.
Waziri Mkuu wa Ethiopia Ndg Meles Zenawi amefariki dunia jana Jumanne baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa unaodhaniwa kuwa ni kansa ya ubongo. Mungu amweke mahala pema peponi.
Tafakari yakuwa wamemchoka na tabia yake ya ombaomba bila kufanya majukumu ya kusimamia rasilimali nyingi tuliyonayo hata kuliko UK. Pia wenzake wana mengi ya kufanya kuliko kuzurura kwake kusiko na maana.
Kabla hujamlaumu mkristu lazima Uwe na takwimu zinazotosheleza badala ya kuchukulia mambo juu juu tu. Serikali iliyoshindwa kuwachukulia mafisadi inaongozwa na nani? Na katika serikali yake kawaweka kina nani? Kwa ujumla hakuna Dini wa Dhehebu lolote like la dini linalopenda ufisadi Ndiyo maana...
Hii inaonyesha kodi za wananchi kutumika kupotosha umma. Serikali na chama tawala wasitupotezee muda kwa kutumia propaganda ya kuandaa maandamano na kutmia magazeti yao kujisafisha. Haikuwa muda ndefu watu hao hao wakiiambia vyama vya upinzani waache siasa vyuoni wakati kwa chama tawala ni sawa...
Samahani wana JF haikuwa nia yangu kuwachanaganya ni bahati mbaya.
Ilikuwa safari ndefu ya kufanya mikutano ya hadhara katika Majimbo ya uchaguzi ya Mbulu na Bahati vijijini kuwavua makamba vigogo wa CCM. Makamanda Pauline P. Gekul na Rose Kamili, wabunge wa viti maalum kwa tiketi ya CDM...
Makamanda wa CDM Mh. Rose Kamili na Pauline P. Gekul wakiwavua magamba Babati Vijijini. Kwa ujumla hali inaonyesha dalili ya kutosha kuwa makamba wanakazi ya kuwatete nafasi yao kwa wananchi. Ukombozi umefika kwa wananchi.
Kwa ujumla Jimbo la Babati mjini liko wazi kwakuwa Boko lililowekwa na magamba kwa nguvu za fedha ameingia mtini na haonekani jimboni wala bungeni kuwakilisha waliomchagua Gekul anaongoza Jimbo kwa nguvu ya umma. Gekul ni mbunge wa Babati mjini ktk mioyo ya wanababati akisubiri uchaguzi ujao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.