Tundu Lissu na Gekul kutikisa Babati kesho

Nakubaliana na Mwana JF Narubongo juu ya uwezo wa Mheshimiwa Gekul na nampongeza sana.

Nikiwa Mwenyekiti Taifa wa kwanza na Muasisi wa CHADEMA, nachukua fursa hii kueleza kwamba alama ya Vidole Viwili "V" inayotumiwa na wana-CHADEMA ni alama ya Ushindi kimataifa yaani "Victory". Wanaoiona ni manati nadhani ni viongozi limbukeni, au mbu mbu mbu.

mzee hii signature "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" haya ni maneno ya Mh Livingstone Lusinde aliyatoa hayo kipindi cha uchaguzi mdogo wa arumeru mashariki.
Dada Gekul atayarishwe vizuri ili 2015 asimame mwenyewe jukwaani kama alivyofanya Halima Mdee 2010.
 
Lissu wananchi wake jimboni wanalalamika ajatimiza ahadi ata moja,ye anawadharau ataki ata kuwasikiliza...sijui kama atarudi tena mjengo jinsi walivyomchoka.
 
mzee hii signature "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" haya ni maneno ya Mh Livingstone Lusinde aliyatoa hayo kipindi cha uchaguzi mdogo wa arumeru mashariki.
Dada Gekul atayarishwe vizuri ili 2015 asimame mwenyewe jukwaani kama alivyofanya Halima Mdee 2010.
Kwa ujumla Jimbo la Babati mjini liko wazi kwakuwa Boko lililowekwa na magamba kwa nguvu za fedha ameingia mtini na haonekani jimboni wala bungeni kuwakilisha waliomchagua Gekul anaongoza Jimbo kwa nguvu ya umma. Gekul ni mbunge wa Babati mjini ktk mioyo ya wanababati akisubiri uchaguzi ujao.
 
Kwaraa ndio wapi mkuu? . Magamba safari hii lazima yaangamizwe.

Kwaraa ni maeneo ya Singe grounds na Kwaraa ni ule mlima mkubwa wa pale karibu na Babati town, (very well visible mountain at Babati) viva makamanda! Kazi iendelee na Paulina Gekul ampeleke Mh T. Lissu vijiji vya Gallapo, Orngadida, Qash, Tsamas, Gedamar, Halla, Ng'wang'weri, Singe, Managhat, Bonga, Haraa, Mamire, Mwikantsi, Ayamango, Kiru zote, singu na Sigino kwani bado baadhi yao bado wanapeperusha zile bendera za kijani na kuna population kubwa maeneo yote niliyoyataja. Kazi ni kwetu....
 
Jamani ambao hatujajiandikisha tujiandikishe tuwahukumu CCM uchaguzi ujao. Ni aibu kuwa na serikali isiyowajibika kama walivyoonyewakija juzi na Pinda nae akauchuna na JK nae hivyo hivyo. Na ikiwezekana hao mawaziri wakija majimboni tuwazomee

Kisha baada ya kujiandikisha tujitokeze kupiga kura. Tuanze kupandisha mori tokea sasa. Kuwa mwaka 2015 lazima nipige kura.
 
CHADEMA keep on recruiting new member and educate them ....................................
 
Nakubaliana na Mwana JF Narubongo juu ya uwezo wa Mheshimiwa Gekul na nampongeza sana.

Nikiwa Mwenyekiti Taifa wa kwanza na Muasisi wa CHADEMA, nachukua fursa hii kueleza kwamba alama ya Vidole Viwili "V" inayotumiwa na wana-CHADEMA ni alama ya Ushindi kimataifa yaani "Victory". Wanaoiona ni manati nadhani ni viongozi limbukeni, au mbu mbu mbu.

Vipi mchango wa Zitto kwenye hoja ya kuwajibisha serikali bungeni,una maoni gani Mzee wetu??..
 
tulishaanza kupiga kichwa nyoka sasa tunamalizia tu kwa kumpondaponda asijehamka
 
Unataka maoni ya nini na wewe ni mpinzani wa wanamageuzi?...pakua makande ule ukalale!

mkuu nilitaka kupata maoni ya Mzee wetu kuhusu hoja ya Zitto,kwani una wasiwasi gani Mzee wetu akimzungumzia Zito??mbona ishu ya tume ya katiba mpya alitoa mawazo yake na tukamwelewa!!!
 
Natamani ningekuwa babati aisee. Du..nimetoka huko miaka 20 sasa..is my Home..Waambie waende Haraa, Bonga, Galapo, Maisaka, Mamire, Ng'wang'warey, Duru, Riroda, ukishuka mpaka Magugu, Kiongozi, Dareda kati na Mission, Bashnet, Madunga, quameyu, Nari, Masakta..Kadi ningechukua walah..Kuwa Visiwani nimekosea njia..NAJA
Makamanda nendeni maeneo yenu mkasaidie kuondoa magamba viongozi wetu hawataweza kufika kila mahali hata kama wana nia hiyo nchk hii ni kubwa, saidieni kufika kwa niaba yao, tuweni mikono ya ziada ya akina Slaa na majembe yetu!
 
Home swty home...babati ndo nimezaliwa, Haraa ndo ma home. Big up makamanda..last year nilikaa babati mjini maeneo ya Nyunguu pipo zinakubali Chadema
 
Mambo yoteeeee kamata mwizi men.CDM chanja mbuga hi mijitu imepigwa sindano ya nusu kaputi haijitambui hata ile form ya ukweli ya ZITTO wengi hawajasaini ni kama wamekufa hawajitambui japo wana masters feki.
 
Waende na', Bumbuli kwa January Makamba, kishapu, Mtera kwa lusinde wakawaeleze wapiga kura wake jinsi mbunge wao alivyofund wa kutukana, waende Bagamoyo kwa JK na pwani yote, Tabora, katavi yote Tanga yote, Mtwara, Lindi, Morogoro, Singida, Kongwa kwa Ndugai, Kyela kwa mwakyembe, simanjiro kwa Olesendeka, Monduli kwa fisadi papa Lowassa, Vunjo, Nzega, same kwa Kilango, mwanga kwa Magembe..,.,., na kwingine kote kitaeleweka tu. M4C ndo kila kitu. 'ALUTA CONTINUE'.
 
Majembe ya CDM yatafanya mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho mchana katika viwanja vya Kwaraa, na watazindua matawi ya chama na vijiwe vya wakereketwa. Pia watapokea kadi za watu maarufu wa CCM na kujiunga rasmi CHADEMA. Pia watakuwepo makamanda wa chama wafuatao: Rose Kamili, Mch Natse wa Karatu.
kuleni vichwa makamanda nape kaishiwa maneno,,,,
 
Back
Top Bottom