Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,265
Unaona Picha Chini? nilikuambia hiyo ni Protocol kupokewa AIRPORT
PICHA chini yuko na David Cameroon
![]()
Tunawezaje kupata uhakika kuwa picha hiyo ni ya safari ya sasa? Please help hapa tupate hakika maana boss wetu anapenda sana kwenda majuu kutafuta wawekezaji na picha zinapigwa all the time...