Recent content by qaylah

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Wajuvi: North Korea hawataachana na silaha zao za nyuklia

    Endelea kukariri
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

    Inaonekana industry ya mziki hujui vizuri...hata sound city ya Nigeria kuna muda inakuwa na wizkid day, davido day.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa historia na mfumo wa kiutawala wa "Jamaica"

    Habari zenu wana jamvi, Kwa muda mrefu naisikia nchi ya Jamaica lakini sijawahi kuisikia wala kujua mfumo wake wa uongozi wa kiutawala, wala kimataifa siisikii kiuongozi. Naomba mwenye kuijua hii nchi kiutawala anitoe tongotongo. Nawasilisha.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Utakuwa umelewa wewe, soma habari vizur
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Syria ilirusha makombora 56 Israel 47 yaliishambulia Israel.Netanyahu atangaza hali ya hatari

    Bora mkuu umeliona hilo, kuna watu sijui walienda shule kufanya nini
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Syria ilirusha makombora 56 Israel 47 yaliishambulia Israel.Netanyahu atangaza hali ya hatari

    Hao niwarusi wako nyuma ya huo mchezo
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Sio rumande ni gerezani...rumande nikwa ambao kesi zao hazijatolewa hukumu
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

    Nimekuelewa mkuu..ushauri wangu nikwamba achana na huyo binti haraka iwezekavyo , soon atakuweka kwenye shimo ambalo hutaweza kutoka kabisa
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

    Una umri gani ?? Tuanzie hapo kwanza.inaonyesha mapenzi au wanawake umewajua juzi
  10. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Let us argue with respect. Even if uko na point but if you talking shit like this it will naver make sense
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Nimefika Arusha salama, jamani huku watu wanakula Maisha!

    Wameikalabati iko poa sana now
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Nimefika Arusha salama, jamani huku watu wanakula Maisha!

    Tembelea kiwanja chawajanja kwa sasa Triple A, tutafutane mkuu
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Nimefika Arusha salama, jamani huku watu wanakula Maisha!

    Karibu arusha mkuu
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kienyeji na Matangazo yao

    Sehemu ambazo zina level ndogo za elimu ndio waganga hutokea
Back
Top Bottom